nina nchi sita
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 269
- 146
Yaani wakati tuko mbeya alikuwa demu wangu tukiwa la saba, ila mi nikafeli ye akaenda kidato
Sema bado nikawa nikipata chance napiga pampu kama ida. Mziki ni alipoenda advance ndio tukapoteana mazima
Sa mwaka jana mwishoni nakutana nae songea mi hali taght ila ye kaoga, sema hakujali mi nikawa naendelea kupakua zigo
Sasa leo ndio pita pita insta hivi nakuta mchizi ambae ni rafiki angu amempost eti ni mkewe!!! Nikashangaaaa
namuuliza mchumba ananambia ni kweli mchizi ni mmewe, afu anaongeza kuwa ana ujauzito na ana uhakika ni wangu..!!!
yaani hapa nilipo mambo hayaendi nimepagawa afu ukizingatia mwenye mke ni mchizi wangu
Embu nisaidieni kijiushauri chochote cha kunisaidia