snayper
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 302
- 218
Habar za wakati huu, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,ninasoma chuo hapa Dsm, nilikuwa na mpenzi wangu ambae nampenda sana, tumekuwa kwenye mahusiano kama miaka mitatu hivi japo changamoto za kukosana huwa hazikosekani lkn tumekuwa tunasamehana maisha yanaendelea. huyu mpenzi tunatofautiana imani za kidini, mm ni mkristo na yeye ni muislam.
Mimi binafsi nilikuwa nina malengo na huyu binti siku moja awe mke wangu, mpk hivi ninavyoongea sikuwahi kufanya nae ngono hata yeye hakutaka tufanye ngono kwa kipindi hiki. Tatzo linakuja huyu binti hivi karbuni amebadrika sana, kauli zake sio nzuri, hanithamini kama zamani, anaweza kunikosea na asitake hata kuniomba msamaha mpk mm nimtafute. tushawahi kuachana mara kadhaa na tukarudiana sababu nilikuwa bado nampenda ilikuwa ni ngumu kumsahau moyoni.
Hivi karbuni kama mwezi umepita alinitumia sms akiniuliza kama ntamchukuliaje akisema tuachane, binafsi nilimjibu kwamba ntaheshimu maamuzi yake sababu mapenzi sio vita, sio force. then nikamuuliza kama anataka tuachane na alijibu ndio anataka tuachane. Nilijaribu kumuuliza sababu ya kwann tuachane alinijibu ni maamuzi tu kaamua tuachane, nilimbembeleza lakin hakutaka kunielewa, sikuwa na jinsi ikanibidi nikubaliane na matokeo. kiukwel bdo nampenda na nashindwa kumsahau amekaa sana akilini mwangu, kila nikijiuliza sababu sipati japo alinambia hata utofaut wa imani za kidini ni moja ya sababu. Ndgu zangu naomba ushaur nifanyaje, nifanye nn ili nimsahau binti huyu?? nawasilisha.