Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hiki kitu kinaniudhi na bahati mbaya zaidi sasa sijui kila mwanamke anacho.....?? Ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo..... Mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima, mpaka ukahisi...
4 Reactions
114 Replies
11K Views
Katika pita pita zangu nikasikia hizi habari eti kuwa wanawake wengi huua waume zao ili warithi mali na utajiri wa marehemu. Hili si jambo geni vichwani mwa watu labda wale watoto wanaokua ila...
3 Reactions
88 Replies
10K Views
Salaam wana MMU Wife ana ujauzito wa miezi 7,sasa Leo kaenda clinic kwa Mara nyingine kuchek maendeleo ya ujauzito wake kapewa huduma zote,ilipofika kipengele cha kumpima HIV wakamkatalia eti...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
*KUNA AINA 6 ZA MAHABA YA KUIGIZA[emoji116][emoji116][emoji13][emoji13]* *1. GEOGRAPHICAL Location, spartial*[emoji44][emoji44] Utasikia, hapo hapo, chini kidogo, nilambe shingoni na masikioni...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu... Nikitammbo kidogo sijasikika japo nimekua msomaj tu hapa ndani. Niende mojakwamoja kwenye mada.... Nipo chuo namshukuru muumba mamba yanakwenda.... Nilifanikiwa kujenga...
2 Reactions
78 Replies
15K Views
Hellow JF jamn natafta lafiki wa kike kama upo interest njoo DM tuyapange [emoji4]
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Jambo...! Kuna ule wakati unakuwa unampenda mtu na ndio penzi lipo moto...halafu mara gafla paap anakuacha bila kukuambia. Unabaki haujui sababu wala kosa. Unakaa unaanza kuhesabu makosa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Unakomaa na kazi kwa ajili ya Familia yako,lakini mwisho wa siku inakua ni maumivu tu Safari za mikoani wiki mbili kila mwezi na unamke umemuacha nyumbani unakua unatuma pesa na unapata...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Babu yangu ni mfugaji anaye ishi kando kando ya ziwa Victoria na sjui ni kwanini Babu aliamua kuwa mfugaji kuliko kuwa mvuvi wa samaki wanao patikana kwa wingi ziwani , naona hilo lisinisumbue...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF, Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau! habari zenu. swali ndio hilo wakuu, maana najiona nakosea sana lakini nahisi kama nakosa suluu kwa hili swala. yani napenda sana migegedo kwa wiki naweza nikagegeda hata mara 5 hadi muda...
1 Reactions
25 Replies
19K Views
“The Ten Most Dangerous Mistakes YOU Probably Make With Women— And What To Do About It...” Here Are The Top Ten Reasons Why Men Fail With Women—And How To Make Sure YOU Avoid Every One Of These...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimu wote jf, Kwa sasa nimeamua nimpate mwenzangu wa kumaliza naye Sehemu ilobaki ya kula na kuvuta hewa(maisha), lakini katika pilika pilika zangu nimebahatika kukutana na wadada kutoka...
0 Reactions
90 Replies
13K Views
Rafiki yangu analalamika...., Ndoa yake na mkewe haina muda mrefu sana , wote wana toka katika familia ya kikristu wa dhehebu la Kiroma na ndipo walipofungia ndoa yao. Mungu kawajalia watoto...
0 Reactions
119 Replies
16K Views
Kwa heshima ya kipekee na ndani ya moyo wangu, Kwa mara nyingine Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF. Kwangu mimi imenitendea mambo mengi kupitia watu wake. Mbali na...
25 Reactions
153 Replies
10K Views
Habari kwenu wote wadau wa sekta hii Moja kwa moja kwenye mada nimeamin mapenzi upande mmoja ni furaha na upande wa pili wa shilingi ni karaha. Weekend hii tumepoteza kijana mwenzetu mchapakai na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Limekuwa ni suala la kawaida katika mahusiano, mapenzi na urafiki miaka hii wanawake kulalamika kuwa hakuna wanaume. wamebaki watu jinsia ya kiume n.k Dunia ya sasa imebadilika sana. si dunia ya...
27 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje. Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake. Baada ya kugundua amenikanya tu. Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi. Ila...
3 Reactions
79 Replies
53K Views
Habari zenu wanajf; Niende moja kwa moja, wakati wife kasafiri nilitafuta kamchepuko na nikatumia mipira miwili, mmoja nkarudi nao home kwa maana tulkuwa na ahadi ya kukutana tena... Daaah...
4 Reactions
112 Replies
13K Views
Juzi nimekua hapo kwenu Tanzania kwa shughuli za kikazi, nika hookup na mrembo fulani, dada mzuri kimaumbile halafu bado yupo kwenye umri wa early 20s. Lakini aliniacha hoi na kwenye mshangao...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom