Big Dy
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 496
- 615
Habari kwenu wote wadau wa sekta hii
Moja kwa moja kwenye mada nimeamin mapenzi upande mmoja ni furaha na upande wa pili wa shilingi ni karaha. Weekend hii tumepoteza kijana mwenzetu mchapakai na ni kipenzi cha watu kwa waliopata kumfaham.
Asili yake ilikua ni Mjaluo ila alipata kuoa binti wa kitanzania na kubahatika kupata mtoto hivo kupelekea yeye na familia yak kuishi huku kwenye KAZI TU maeneo ya airport. To cut it short habari zilizotufikia ni jamaa alitaka kuua familia yake (mke na mtoto)baada ya kuona imeshindikana akaamua kujimaliza yeye mwenyewe kwa kujichoma kisu mara mbili juu na chini ya ziwa la kulia. Japo haijajulikana sababu haswa ni nini ila Mapenzi ni part kubwa kabisa kwenye mauaji ya sampuli hizi.