Wadada mnaokunywa pombe nyingi mjitafakari

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Juzi nimekua hapo kwenu Tanzania kwa shughuli za kikazi, nika hookup na mrembo fulani, dada mzuri kimaumbile halafu bado yupo kwenye umri wa early 20s.
Lakini aliniacha hoi na kwenye mshangao mkubwa baada ya yeye kubugia chupa 18 za beer ndani ya masaa machache na hakuonyesha ishara zozote za kulewa, to cut the log story short, that was a turn off for me.
Haifai kabisa mdada yeyote yule upitilize zaidi ya chupa tano, bora uagize nikununulie vitu vingine vya aina yoyote ile including expensive lunch or supper, and some gifts lakini sio unywe chupa 18 na bado upo tayari niendelee kukuagizia. You become a turn off kabisaaa....

Edit:
Kuna baadhi ya comments naona kama hamjanielewa, issue sio kwamba mimi mbahili, yaani niko tayari kugharamikia maana tunakula bata, lakini isiwe tu beer, huyo mdada alikunywa hadi tukaambiwa muda wa kufunga bar umetimia, yaani sheria za Tanzania mwisho wa bar ni saa sita usiku, hicho tu ndio kilimzuia, ila alionekana kuwa tayari kunywa hadi wahudumu wamkome, cha kushangaza halewi, mazungunzo ni yale yale, yupo tu.
 
Last edited:
Bora hyo beer kuna mwingine anakunyaa Konyagi karibu sana A.town huku wapo
 
Hela umetoa wewe turn off imekukuta wewe ukaamua kughairi (I think) mimi sina cha kusema msee.
 
Wengine wanachanganya na konyagi na bado wanabugia zaidi ya chupa 15 na konyagi juu na yuko fiti
 
Juzi nimekua hapo kwenu Tanzania kwa shughuli za kikazi, nika hookup na mrembo fulani, dada mzuri kimaumbile halafu bado yupo kwenye umri wa early 20s.
Lakini aliniacha hoi na kwenye mshangao mkubwa baada ya yeye kubugia chupa 18 za beer ndani ya masaa machache na hakuonyesha ishara zozote za kulewa, to cut the log story short, that was a turn off for me.
Haifai kabisa mdada yeyote yule upitilize zaidi ya chupa tano, bora uagize nikununulie vitu vingine vya aina yoyote ile including expensive lunch or supper, and some gifts lakini sio unywe chupa 18 na bado upo tayari niendelee kukuagizia. You become a turn off kabisaaa....

Pole... na wewe ulikunywa ngapi wakati ukihesabu anazokunywa mdada?

Kitu kizuri inaonesha hakulewa (kwa mujibu wa maelezo yako)! Vinginevyo unywaji wa kupindukia/ulevi to both men and women hauna tija... sio wadada tu.
 
Jirani MK254 niko kwenye mtaa wenu hapa Nairobi ninataka nimfahamishe mkeo haya uliyoandikaw nipatie door number yako plz
 
Kuwa makini wengine huwa wanaenda chooni kujitapisha.
 
Jirani MK254 niko kwenye mtaa wenu hapa Nairobi ninataka nimfahamishe mkeo haya uliyoandikaw nipatie door number yako plz

Hehehe Jirani Sky Eclat katafute nini maana ya msemo "what happens in Vegas stays in Vegas", yaani ulitegemea nitembelee Bongo halafu nikauke mwenyewe bila kampani hata mtu wa kupiga stori naye nikose. Tatizo mtoto mrembo mwenye umbo nzuri lakini anameza pombe kama maji ya Uhai, chupa kumi na nane mtawalia halafu la kushangaza haonyeshi kulewa, yupo yupo tu.
 
Imechukua kunguru wewe
 
Pole... na wewe ulikunywa ngapi wakati ukihesabu anazokunywa mdada?

Kitu kizuri inaonesha hakulewa (kwa mujibu wa maelezo yako)! Vinginevyo unywaji wa kupindukia/ulevi to both men and women hauna tija... sio wadada tu.

Ni kweli hatufai sote kunywa sana but it looks worse on a lady.
 
Juzi nimekua hapo kwenu Tanzania kwa shughuli za kikazi, nika hookup na mrembo fulani, dada mzuri kimaumbile halafu bado yupo kwenye umri wa early 20s.
Lakini aliniacha hoi na kwenye mshangao mkubwa baada ya yeye kubugia chupa 18 za beer ndani ya masaa machache na hakuonyesha ishara zozote za kulewa, to cut the log story short, that was a turn off for me.
Haifai kabisa mdada yeyote yule upitilize zaidi ya chupa tano, bora uagize nikununulie vitu vingine vya aina yoyote ile including expensive lunch or supper, and some gifts lakini sio unywe chupa 18 na bado upo tayari niendelee kukuagizia. You become a turn off kabisaaa....
Kuna milevi sana huku. Yaani unakuta huku anakunywa na kuitoa. Anapiga chupa kadhaa kisha anaenda haja. Kibaya hawalewi kivile.
 
Juzi nimekua hapo kwenu Tanzania kwa shughuli za kikazi, nika hookup na mrembo fulani, dada mzuri kimaumbile halafu bado yupo kwenye umri wa early 20s.
Lakini aliniacha hoi na kwenye mshangao mkubwa baada ya yeye kubugia chupa 18 za beer ndani ya masaa machache na hakuonyesha ishara zozote za kulewa, to cut the log story short, that was a turn off for me.
Haifai kabisa mdada yeyote yule upitilize zaidi ya chupa tano, bora uagize nikununulie vitu vingine vya aina yoyote ile including expensive lunch or supper, and some gifts lakini sio unywe chupa 18 na bado upo tayari niendelee kukuagizia. You become a turn off kabisaaa....

wewe acha ubahili chupa 18 tu unabweka hivyo, wenazako wengine wanaagiza bia 16 na kilo 6 za kitimoto na hela ya tax juu
 
Chezea toto za kibongo ww

Hapo kesho atawasimulia Shoga zake jana nilikuwa na korooo mmoja iv mbona nimemkomesha
 
Back
Top Bottom