Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu...
Wakuu,
Naomba tujadili hii dhana ya wanawake kuishi na wadogo zao wa kike kwenye ndoa zao.
Kama mjuavyo familia nyingi za kiafrika kuna utegemezi, hivyo hufanya kati ya mke au mume kuishi na...
Nimeanzisha uzi huu ili kukuenzi baba yangu mzazi niliyekuzika jumapili ya tar 29/7/2018.
Ulifariki usiku wa kuamkia ijumaa tar 27/7/2018. Ulifikwa na umauti ukiwa unakimbizwa hospitali baada hali...
Za mda huu.
Sasa kuna wale watu ambao huwa wanaitwa marafiki wa kuaminika au mtu wangu wa karibu... yaani haumfichi kitu na mara zote huwa wanajitoa kuhakikisha rafiki yake anakuwa na furaha...
Mimi kijana nimejitokeza kutafuta mwanamke ambaye tutaweza kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea ndoa
Kuhusu mimi
Umri 25 years.
Elimu Diploma.
Kazi: Nurse
Nahitaji mke awe na sifa zafuatazo...
Habari zenu wana JF,
Matatizo siku zote huletwa na changamoto ambazo mtu binafsi hushindwa kuzichanganua vema, pengine mpaka atakapopata msaada upande wa pili.
Huyu Dada ni mtoto wa dada yake na...
Habari wanajamvi?
Kiukweli yawezekana hili jambo linawatokea na wengine au ni mimi peke yangu.
Yani mm nampenda mpenzi wangu akiumwa na mimi naumwaa sijui kwa sababu gani?
Nina hisia kali sana za...
Binafsi nakuwaga mzito kumyonya mate mwanamke akiwa amepaka rangi/lipstick (and the like) midomoni. Zile rangi zote zitaishia tumboni kwangu.
Hivi hakuna madhara yoyote yanayosababishwa nazo...
Mapenzi ni kitu cha ajabu,mtu anaweza akakupenda au ukapendwa na mtu ukatafuta alichokupendea au alichompendea mtu yule hukioni
Tuweke vigezo ambavyo mpenzi wako alikupendea mara baada ya kuingia...
Hii ni kwa wale mama watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 na zaidi. Nawapa pongezi kwani wanajitambua sana na wanawarahisishia wanaume kazi.
Hawa wamama wengi wao walishajikubali kuwa hakuna...
Namaanisha ukimvumilia mke au mume msaliti basi inaweza ikawa ni dalili mojawapo kuwa siku zako za kuishi hapa duniani zimebaki chache sana!Mwenyezi Mungu ametupa ruksa kabisa kumwacha mwanamke...
Wadau Habari za jioni Kama ujuavyo kidume nimeburuza Mzoga wa maana ghetto Kitu kikali milk ni saa 6 Juu ya alama Katika pirikapirika za hapa na pale Kimwana akataa katakata kuvua pichu Hivi niko...
Kama kichwa kinavyojieleza,nimefikiria kumfanyia suprise ya hand hair dryer maana napenda nywele zake.Kwa yeyote anayejua bei na sehemu ambapo naweza pata hii kitu kwa dar-es-salaam naomba anijuze...
Habari wakuu,
Kama umeshawahi kulia na sio kulia tu ni kulia kwa uchungu kwa sababu ya mapenzi, huu ndio uzi wako spesho.
Ilikuajeje hadi ukalizwa?
Ulijiona mjinga baada ya "kilio mapenzi"...
Warembooo mupo?
Kama kawaisa yangu dada enu nawapa siri ya mchezo 😂😂😂ukitaka kumjuaa mwanaume anayejielewa na kujitambuaaa kwanza zingatiaa mambo haya matatu...
1.viatu vyake anavyovyaa vipoje...
Niko katika harakati zangu kapita mdada kafanana sana na aliyekua mpenzi wangu, Caroline.
Carol alinipenda kupita maelezo hadi nikajua na nikawa namchukulia poa kwa kumfanyia vituko visivyokwisha...
Mwanaume mwenye akili kidogo humuona mwanamke kuwa ndio chanzo cha mafanikio yake,tena husema kuwa bila mke wangu nisingefika hapa nilipo na wala nisingepata mafanikio haya niliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.