Wee endelea kumkula tu haina shida kabisaMwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.
Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.
Ila huyu mke alikuaga demu wangu wa zamani.
Ushauri jamani.
Duuhh,endelea kumtafuna tu.Kasema jogoo halipandi mtungi
Tembea na KY kwenye mfuko just in case itapunguza maumivu