cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,809
Unakomaa na kazi kwa ajili ya Familia yako,lakini mwisho wa siku inakua ni maumivu tu
Safari za mikoani wiki mbili kila mwezi na unamke umemuacha nyumbani unakua unatuma pesa na unapata feedback za simu tu
Minjemba inakua inamega kisela,Mpaka ukirudi unakuta mkeo hana furaha nawe tu anakua anenjoy sana na uhuru wake kuliko uwepo wako
Hii kitu imekua shida sana kwa ndoa za sasa,Uhamisho wa kikazi na umesha invest nyumba biashara mkoa mwingine,unaamua kumuachia mkeo mishe hizo wewe unakwenda kuongeza Kipato ,mkeo anakula bata kwa pesa zako na michepuko
Mbaya sana Inauma sana
Vidume tunakula huku mawindoni ila kuliwa mkeo ni maumivu mabaya sana
Naacha kazi narudi kulinda ndoa yanngu
Kazi zipo tu