Mbinu ya kumnasa demu ambaye ni rafiki yako..

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
Heshima kwenu wakuu...
Nikitammbo kidogo sijasikika japo nimekua msomaj tu hapa ndani.
Niende mojakwamoja kwenye mada....
Nipo chuo namshukuru muumba mamba yanakwenda....
Nilifanikiwa kujenga urafiki na wadada kadhaa ila kuna huyu Dada wa kiislam nimetokea kumpenda japo nimezoeana nae kama rafiki tu wakawaida....
Ombi langu kwenu ...ni njia gan nitumie nimshawishi tuwe wapenzi maana awali alinizoea kama rafiki !?...na anaonekana anamsimamo haswaaa....
Nawasilisha wakuu...
 
Hivi kumwambia mtu unamtaka inahitaji mbinu gani
 
Heshima kwenu wakuu...
Nikitammbo kidogo sijasikika japo nimekua msomaj tu hapa ndani.
Niende mojakwamoja kwenye mada....
Nipo chuo namshukuru muumba mamba yanakwenda....
Nilifanikiwa kujenga urafiki na wadada kadhaa ila kuna huyu Dada wa kiislam nimetokea kumpenda japo nimezoeana nae kama rafiki tu wakawaida....
Ombi langu kwenu ...ni njia gan nitumie nimshawishi tuwe wapenzi maana awali alinizoea kama rafiki !?...na anaonekana anamsimamo haswaaa....
Nawasilisha wakuu...
Usije tuharibia mtu
Kisha unasoma chuo gani?
 
Umesema mdada wa kiislam, wewe ni dhehebu au dini gani? Haukawii kuja kutuletea uzi kwamba wazazi wamegoma kuoa mke wa dini tofauti.

Sasa huyu ni msomi wa chuo anashindwa kufanya maamuzi au kutatua jambo kama hili hadi kulianzishia uzi, hii elimu inatusaidia kweli?
 
Mkuu weakness zipo ...mbona natatua mengi tu sijaomba msaada ...ila kwa hili naona nimeshindwa kulitatua ndio maana nimeomba msaada....pia nadhan ushauri wa kujenga ungefaa zaid kuliko kukosoa mkuu.
 
Haujajibu swali langu la msingi nililokuuliza. Wewe dini gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom