Tatizo hata sielewi.

Tatizo hata sielewi.

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
299
Reaction score
409
Jambo...!

Kuna ule wakati unakuwa unampenda mtu na ndio penzi lipo moto...halafu mara gafla paap anakuacha bila kukuambia.

Unabaki haujui sababu wala kosa. Unakaa unaanza kuhesabu makosa uliyowahi kumfanyia na kujistukia kusiko isha.

au labda sipo ligi yake! au labda simtimizii haja zake! au labda kaona sieleweki!.

Ni bora unapomwacha mtu afahamu hata sababu. Inatesa saana hii nimeiona kwa wengi.
 
Basi kuwa mwanaume acha kulialia kama kibinti, ukiachwa tu unazama kutoa lawama mitandaoni.

Ishi kiume acha kulialia.
Kweli wewe mbao za mawe.... naona network ya ubongo ulipo inasoma 2g.

Hii sio yangu.
 
Kuna vingine sio Rahisi kukwambia,unajua tena hawa ndugu zetu aibu na kuogopa kuku disappoint, mfano akwambie Unanuka mdomo,au sehemu zako za siri ni ndogo, au labda Hauko smart mchafu mchafu unauchukilia unadhifu kiganster gangster hivi,Au tu una ushamba fulani hivi ambao hakudhania kuwa unao hapo awali,
All in all usafi,kujipenda ni vitu vya msingi Sana, Pia usipende kumtreat kama mwanaume mwenzio, mbebishe bebishe hivi, kama kweli una malengo nae.
 
Atleast akikuambia una mtoa kwenye kumfikiria.
 
Ukioa mwanamke aliyeacha skul , lazima utaachwa kwa staili ile ile aliyotumia kuacha skul

Pia skia nikwambie kitu ogopa yule mtu kila unachokifanya kiwe kibaya hakwambii umeniudhi, kiwe kizuri hasema nashukuru yani mpaka unajiuliza nifanyaje ili aseme kitu , watu hawa ogopa sana
 
Kwamba amezoea kuacha acha kama alivyoacha shule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom