Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Karibuni wapenzi wote wanaopenda ushauro juu ya kumpata mwenzi au wakumtuliza mwanaume mapepe i mean mwenye wanawake mwengi. Au kumtuliza mwanamke asiyetulia . ukitaka ushauri ni pm wakimahusiano...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi. Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi...
17 Reactions
217 Replies
31K Views
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kwamba itatokea siku nikanunua sex kwa kahaba!nilikuwa nadhani tu ni story za kusadikika!Nakumbuka mwaka 2009 nikawa nimeenda Malawi kucheki fursa Fulani na...
9 Reactions
152 Replies
28K Views
Husika na kichwa kinachobeba salama juu na niende moja kwa moja kwenye point Je? Unawezaje kua kwenye mahusiano na zaidi ya mtu mmoja na wote ukawamanage / wasitambuane hasa kupitia mawasikiano...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Dear All I wish you a happy weekend coment if your married . and i want to ask friends. If you have a girlfriend or boyfriend what do want to do if you have a fre time.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naamini JF ni kubwa na imevuka mipaka sana... hivyo kwa wale walioko huko ZImbabwe sio mbaya wakatuambia nini kinaendelea huko
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jijini Hong Kong nchini China,ni ruksa kisheria kwa mwanamke kumuua mume wake endapo amemfumania(kachepuka)na mwanamke mwingine. Sheria hiyo inamtaka mwanamke kumuua mumewe bila kutumia silaha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
By darasa la Mapenzi Soma acha uvivu KONDOMU ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Kwenye swala LA mapenzi in bed kuna mambo mengi hutukia ambavyo huwa chachu ya tukio na kusimama kama mapambo ya shughuli uleukelele jaman my self and I huwa napagawa ila sometime unakutana...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kulikuwa na mdada mmoja anaishi Dar. Nimfanyakazi katika kampuni moja hapo posta . Alikuwa anajiheshimu hajaoelewa ila anaishi mwenyewe na ana mahusiano nakijana mmoja ambaye hupenda kusafiri muda...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanawake wengi hawajui au wanadharau usafi wa sehemu zao siri ila leo nitawadokezea moja linahususu utumiaji wa sabuni katika kujisafisha na madhara yake. Kwanza kabisa hairuhusiwi kutumia sabuni...
0 Reactions
4 Replies
737 Views
"Bwana Mungu akasema, si vema huyo mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye"(mwanzo 1:18) Wakuu wasalaam,katika jamii yetu wanawake kupokea kipigo kutoka kwa waume zao ni jambo la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu, Shida ni kupasuka kwa mpira wakati wa tendo, nini husababisha? Note Sina papara, dushe ya kawaida, aina za mipira najaribu pia kuchange lakini wapi. Karibuni wataalamu wa mambo..
2 Reactions
59 Replies
51K Views
Masikini huyu. Alidanganywa na shetani alipewa uzuri na utajiri basi akajidai kwa kila mtu akawa na kila kitu ila siku moja shetani akamjia akamwambia nakuhitaji sasa umefikia muda wakukuchukua...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Huwa nakaa nawaza mwisho wetu kati yangu na huyu mwanamke nilienaye tumekutana yapata miaka 6 iliyopita,tuna mtoto mmoja wa miaka 5 Yeye muajiriwa mwenye mshahara mnono mimi ni mzee wa mishe za...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Wanawake wa Dsm siku hizi mmezidi kuomba hela.Ukiona sms imeandikwa "halloo baby kuna jambo nataka nikushirikishe" tayar ujue huo ni "mzinga" Nyie wenzangu mnawakwepaje hawa jamaa zetu? Msaada pls
0 Reactions
23 Replies
4K Views
I have for the first time found what I can truly love–I have found you. You are my sympathy–my better self–my good angel–I am bound to you with a strong attachment.
1 Reactions
39 Replies
5K Views
.
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Nirudi katika mada, in short nilijaliwa mtoto na huyu mke, na niliishi nae kwa raha na shida, Ilifika wakati nikaona mambo japo yapo sawa lakini kwa jicho la pili mbeleni si kuzuri. Nikatafuta...
30 Reactions
71 Replies
11K Views
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani. Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom