Hakuna raha zaidi ya karaha kwa Madada Poa!

Hakuna raha zaidi ya karaha kwa Madada Poa!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kwamba itatokea siku nikanunua sex kwa kahaba!nilikuwa nadhani tu ni story za kusadikika!Nakumbuka mwaka 2009 nikawa nimeenda Malawi kucheki fursa Fulani na kujikuta nimekaa miezi takribani 4 Pale Blantyre!kwa vile nilikuwa full stressed sana kipindi hicho sikujaribu kudeal na mwanamke yoyote!sababu ya kwanza nilikuwa juu ya mawe na sababu ya pili mwenyeji wangu niliyekuwa naishi nae alikuwa ameowa so ni vigumu Mimi kuleta demu pale!sasa nikajikaza na ugumu ila siku wazo likajinijia ngoja nifanye kautafiti kidogo nijue sehemu wanajiuza makahaba na kujua bei zao kwa ujumla ambazo bei zao nilikuwa ni around 2000-3000 Malawian kwacha!sasa baada ya kujua sehemu husika ikabidi nipange plan yakumtoroka mwenyeji wangu ile mida ya wanga ili nijilie mzigo kimya kimya bila yeye kujua!mida ya saa nne hivi ilipofika nikazuga naenda kununua vocha maana sigara sivuti[emoji23] mzee huyo nikatokomea kusikojulikana!kuhusu kuchelewa nilikuwa sio tatizo maana ningesingizia nimepotea maana nilikuwa mgeni Malawi! Kwa Mara ya kwanza nikaingia sehemu wanapojiuza madada poa!nilivyofika sehemu ya tukio nikajifanya kama mzoefu Fulani hivi ili nisipandishiwe bei!ili kuokoa muda bila kuchagua nikamwita kahaba mmoja na bila ya salamu nikamuuliza how much?kweli akinitajia bei ni 3000 Malawian kwacha nikamshusha hadi 2000kwacha!nitaendelea hapa chini kwa vile imekuwa ndefu kidogo...
 
Sasa baada yakukubaliana bei akanipeleka hadi kwenye chumba chake ambacho kilikuwa mita chache kutoka pale!tulivyoingia chumbani akanitaka nilipe pesa kwanza(my friend pay me first) mzee baba baada yakutoa pesa 2000kwacha moja kwa moja kavua sketi tu fasta na kuvuta boksi LA condom na kuchomoa moja nakuniambia fasta haraka muda ni pesa!no kutomasa no nini wala nini sasa hisia zenyewe zingetoka wapi!sasa baada yakujaribu kuvuta hisia flani kama nipo na mrembo Fulani amazing lakini wapi mnara ukashindwa kupandisha data!huku na huku wapi nikajikuta nimeliwa pesa kizembe tu na baada yakutia huruma kidogo nikarudishiwa kama 500kwacha ya nauli huyo nikasepa sasa nikaahidi kulipa kisasi...itaendelea
 
Ata mademu wengi wa mtaani ni makahaba utashangaa anakuwa na wanaume wengi mpaka at 10. Tofauti ni wengine wanajiuza indirect na wengine directly.
Chamsingi ukiwa na njaa we Kula tuu Ila ukumbuke zana. Na hakuna kahaba anaekubali bila condom otherwise maelewano mengine Ila hawa wa mitaani ambao tunaamini ni salama ata first day unakula bila zana.
 
Shida ni pale anakuwa mzuri pale tuu kabla haujampa hela. Akishachukua hela mkaingia room kwake anakuhamulisha umalize mapema anakuwa mkali. Ila uzuri wa madem wa mtaani you can enjoy eating
Well said
 
wengi wanadhani sex ni kufika na kuchomeka tu no, maandalizi huanza kwenye ubongo kwanza na kisha blood pressure inapanda ndio mnara unasimama. Tit for tat kama hivyo leads you no where. Kwanza ulitakiwa uwe humble kidogo mvute, ongea nae mnunulie kuche kuche ama carlsberg (nimeishi malawi) hisia zinapanda, ubongo unatamani blood pressure inapanda mnahamia ndani. Sasa wewe tita for tat hio vipi mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah kubabaaleeee nmechekaaa mnoo
Nafikiri hamna mwanaume anapenda kununua dada poa kuna but kuna sababu zinazopelekea anunue mfano yupo mazingira ambayo hana demu, uchumi kuwa mgumu , matatizo ya ndoa mtu hapewi mzigo miezi hadi 6 mwisho wa siku anashawishika kwenda kununua.
 
Nafikiri hamna mwanaume anapenda kununua dada poa kuna but kuna sababu zinazopelekea anunue mfano yupo mazingira ambayo hana demu, uchumi kuwa mgumu , matatizo ya ndoa mtu hapewi mzigo miezi hadi 6 mwisho wa siku anashawishika kwenda kununua.
Aki yamama, mara mia nipige nyeto kama nimezidiwa lkn sio kununua dada poa mkuuu yaan unaingiza mashine yako ktk shimo ambalo kwaiyo siku limeshameza mashine km tatu hahahaha
 
Back
Top Bottom