MSAADA: NITUMIE MBINU GANI KUWAJIBU HAWA

Isombilege

Member
Jul 22, 2018
92
54
Wanawake wa Dsm siku hizi mmezidi kuomba hela.Ukiona sms imeandikwa "halloo baby kuna jambo nataka nikushirikishe" tayar ujue huo ni "mzinga"
Nyie wenzangu mnawakwepaje hawa jamaa zetu? Msaada pls
 
Jibu rahisi tu kuwa sina hela kwa sasa na hilo nalo ni tatizo la kuleta hapa
 
Mkuu hudumia mwanamke kama kweli unampenda mbona hakuna shida hapo
 
Unamjibu dahh hapa njaa inaniuma kweli

akikuuliza kwa nn unasema huna hela
hapo hakuombi tena hela

atajiuliza hata hela ya kula hana mi hatonipa
 
Hakuna namna Isombilege.
Acha kutongoza labda, lakini ukishawatongoza we jiandae kumwambia ninazo kiasi fulani tu.
Ukiombwa 60,000/= unamshusha 30,000/=.
La sivyo acha kuwatongoza
 
kama unampenda kweli na yeye kama anakupenda kweli mpe kile anachotaka.Ila kama huna malengo naye(kumuoa) akikwambia baby kuna kitu nataka kukwambia wai haraka na kumwambia baby naomba unikopeshe 70000 lazima ataghairi mpango wake
 
Wanawake wa Dsm siku hizi mmezidi kuomba hela.Ukiona sms imeandikwa "halloo baby kuna jambo nataka nikushirikishe" tayar ujue huo ni "mzinga"
Nyie wenzangu mnawakwepaje hawa jamaa zetu? Msaada pls
Simple tu
FB_IMG_1531938872993.jpg
 
Nawewe mshirikishe ukata ulio nao.
Akikushirikisha mshirikishe 0va
 
kama unampenda kweli na yeye kama anakupenda kweli mpe kile anachotaka.Ila kama huna malengo naye(kumuoa) akikwambia baby kuna kitu nataka kukwambia wai haraka na kumwambia baby naomba unikopeshe 70000 lazima ataghairi mpango wake
Hii kali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom