Mke wangu ni Waziri, naombeni mnishauri hiki kitu....

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
 
Mkuu i know how you feel but nakuomba PM kuna kitu naamini kitaksaidia sana ila nsingependa kukiweka bayana hapa.
 
Mke akipata mafanikio kumzidi mume ndani ya ndoa basi inabidi ukubaliane na matokeo.
-unyumba utapewa atakapopenda yeye.
-anakuwa na sauti ya juu kumzidi mume.
-hataki kushauriwa akili yake inavyomtuma ndio hivyo hivyo.
-hana muda tena na majukumu ya nyumbani yale ya kupika, na kazi ndogondogo.
-ukimfuatilia zaidi atakuepuka, ukizidi zaidi yupo tayari muachane kila mtu na maisha yake.
 
Naandaa fursa..........nataka ya kuja kuomba ajira serikalini,lol............Ujasirimali mchagga mie na hii attitude naogopa na vibao naweza kujazabwa na wateja bure :) Mzima lakini?

Mi mzima but i must say i am impressed...
you are so good.....
lazima vyovyote vile una some plans na hiki kiswahili...
unaki master vizuri

ukija tuone wenye jiji..tukupe fursa
 
Back
Top Bottom