Kungwi

Kungwi

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Karibuni wapenzi wote wanaopenda ushauro juu ya kumpata mwenzi au wakumtuliza mwanaume mapepe i mean mwenye wanawake mwengi.
Au kumtuliza mwanamke asiyetulia .
ukitaka ushauri ni pm wakimahusiano.
Karibuni nyote.
 
Asante kwa kuanzisha uzi wa kutusaidia sisi washamba kwenye kunako 6 kwa 6
Naomba unielekeze namna nzuri/style nzuri/mkunjo mzuri kungonoka ili mwanamke wangu afurahie
Kwa kifupi
Nimesema kwa wote walioserious ni pm sasa hauko serious ungenipm
 
Kwanini usiwafunde hapa...kwa faida ya wote...?
 
Hivi kwanini ma kungwi huwa hawadumu kwenye ndoa zao? Ina maana maujuzi wanayowapa wali wao hawayatumii?
Kwasababu wanaigiza kufundisha...sio uhalisia wa maisha yao
 
Karibuni wapenzi wote wanaopenda ushauro juu ya kumpata mwenzi au wakumtuliza mwanaume mapepe i mean mwenye wanawake mwengi.
Au kumtuliza mwanamke asiyetulia .
ukitaka ushauri ni pm wakimahusiano.
Karibuni nyote.
Bebe nipe ushaur wa kukufanya wewe uendelee kutulia hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom