katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Kulikuwa na mdada mmoja anaishi Dar.
Nimfanyakazi katika kampuni moja hapo posta .
Alikuwa anajiheshimu hajaoelewa ila anaishi mwenyewe na ana mahusiano nakijana mmoja ambaye hupenda kusafiri muda mwingi.
Huyo dada ni matata sana mzuri wa sura wa umbo just perfect.
Siku moja alikutana na rafiki zake wakihadhithia kuwa vitu A town ni noma.
Akaapa sintakaa kuwa na wamasai sio wasafi wanakera na hayo manguo yao harufu unataka kuzimia .
Aliwaponda wanaume wakimasai.
Ila kuna siku alihitaji mlizi akadai atafutiwe .
Alipatikana mmasai msafi mwelewa.
Akamwajiri nakumpa mahali pakuishi.
ila muda ulienda kama miezi sita naye masai akawa ameingia mjini anapendeza nakuwasharo kama vijana wadar .
Siku moja alimwita nakimuukiliza kama anajua kupika akasema ndio anajua kupika na kufanya usafi .
Akamwambia basi jaribu leo yule masai alikuwa anaitwa naishooki na kwa kifupi ni nai akapika ugali mtamu na mboga za mchanganyiko wa nyama na mboga zamajani.
Akamuita yule dada ili wale sasa yule dada akapenda chakula cha yule kaka na kumuomba awe anapika.
siku zikaenda yule kaka akahamia nyumbani ndani maana hakuwa analala ndani.
Siku moja yule dada akaja amelewa akamuita nai njoo chukua hivi viatu peleka ndani halafu uje unipe kampani.
Nai akadai naenda kulala nimechoka yule dada akadai nakuja basi mimi huko chumbani .
Nai akajibu kufanya nini dada ?
Hadi wakati mwingine nitaendeleea tena.

Last edited: