Kupasuka mpira wakati wa tendo nini husababisha?

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,160
1,195
Wakuu nawasalimu,

Shida ni kupasuka kwa mpira wakati wa tendo, nini husababisha?

Note
Sina papara, dushe ya kawaida, aina za mipira najaribu pia kuchange lakini wapi.

Karibuni wataalamu wa mambo..
 
Naona umeamua tu kusema ili na wewe uoneakane umesema!
Haya, magari mengi hupasuka mpira kwa sababu mbali mbali. Moja ni kuzidisha mzigo tairi inalemewa, mwendo mkali, ubovu wa barabara, ubovu/ uchakavu wa mpira...
Hizo ni baadhi ya sababu... Kwa tairi imara tumia tairi kama za Michelin au BF Goodrich, Goodyear na Bridgestone... Unaponunua gari kutoka Japan, hakikisha umebadilisha mipira kwa kuwa gari huwa zinakuja na mipira iliyokwisha choka...
 
Ni mada ya wavaaji,sio wavaliwaji!! Sorry..
 
Back
Top Bottom