Natumai marafiki zangu nyote mko salama na pia hatuna budi kumshukuru Muumba wetu ambae ndo muweza wa yote.
Katika kipindi chote cha maisha tunayoishi tunakutana na mitihani ambayo wengi wao...
Kama kweli unampenda, furaha yake itakuwa furaha yako, ila kama unampenda kama kifaa kwa manufaa/furaha yako basi kuondoka kwake kutakufanya umtakie mabaya
Ni kweli utaumia, ni kweli...
Habari ya jioni wazee wenzangu......
X wangu zmeharibika mimba 2 mpaka sasa,hizi siku amekuwa MTU wa lawama sana
Hataki nimuulize kuhusu mimba anakuwa mkali,
Nifanyeje ili awe sawa?
Kila kheri
Habari zenu comrades.. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 ni mwajiliwa serikalini,natafuta mke awe na miaka kuanzia 18 hadi 28 ,nipo serious mwanye kuhitaje naomba aje PM sichagui Dini
wala kabila
Sijui ni pepo gani amelikumba taifa letu. Unakuta wazazi wengi wanatumia kuwabusu mdomoni watoto wao kama njia ya kuwaonesha upendo (adoration), lakini nadhani hii imepitiliza kwa watoto kuzoeshwa...
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu..
Sifa awe anaishi Dar au Zanzibar,..
Urafiki wetu utakuwa wa kufa na kuzikana (sizungumzii mapenzi).
Kwa alie tayari...
Yaani wamebanwa kupiga dili huko maofisini sasa wamehamia kwenye harusi za watu. Kwenye kufatilia kila kitu utakuta yupo si kwa lengo la kusaidia bali kupiga dili zake.
Yaani kwenye vikao vya...
Nakumbuka miaka ya nyuma kuwa mwanaume ilikuwa ni process ndefu sana.huamki tu siku moja ukawa mwanaune.anyway unaweza zaliwa mtoto wa kiume.lakini usiwe mwanaume.
Ilikuwa tukienda club,disco n.k...
Kama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa...
KUTHIBITISHA KAMA WEWE KIDUME,UNAPIGA KAZI INABIDI UMLE SHANGAZI YA MKEO MTARAJIWA KWANZA
Awali ya yote chukua simu yako nenda google. type east africa map. wakikuletea hiyo tafuta Ilipo Uganda...
Hizi ni dalili za watu walioumizwa
1.Kumrudia Mungu:usione kila kijana anayeachwa anatumia hadi maandiko matakatifu ,kumbe kaachwa na aliyempenda kwa dhati kwahiyo anarudi kuishi kwa imani kwamba...
Kwanini inafaa mpenzi wako akawa kwanza rafiki yako?
AMANI ya kweli katika uhusiano katu haiwezi kupatikana ikiwa wahusika hawajafahamu wanatakiwa kuishi katika mtindo upi wa maisha. Kila mmoja...
Hapa duniani kweli watu tumeumbwa na tabia tofauti tofauti lakini nimegundua kuna wanawake hawajui kuachana na mpenzi wake hata kama uhusiano ulivunjika miaka 5 iliyopita
Kuna mwanamke hata kama...
Habari za mida hii wakuu.
Mimi ni kijana wa miaka 24
Nipo chuo nasomea masomo ya afya Mwaka wa tatu ambao ni wa mwisho.
Katika mawazo yangu ninawaza kuoa mwanamke mara tu nitakapo maliza masomo...
Wakuu, uzuri wa mwanamke ni SIRI ya mwanaume lakini ki maumbile yaani sura na mwili pana kabila lina akina mama wazuri mno.
Nimejiuliza swali hili baada ya kukuta kwenye "Youtube" mtu mmoja akitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.