Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,981
Hapa duniani kweli watu tumeumbwa na tabia tofauti tofauti lakini nimegundua kuna wanawake hawajui kuachana na mpenzi wake hata kama uhusiano ulivunjika miaka 5 iliyopita
Kuna mwanamke hata kama mliachana kwa shari ya namna gani hawezi kufuta namba yako ya sim kamwe,hata kama ulioa mwanamke mwingine au upo kwenye mahusiano na mwanamke mwingine,na hata kama uliwahi kumtambulisha kwa ndugu,jamaa na marafiki wataendelea kuwasiliana nao shem ,wifi zitaendelea ingawa na yeye ana mahusiano na mwanaume mwingine
Ex wake akiomba kurudiana huwa hawakatai hata kama mliachana kwa bifu kubwa na hata kama ni kwa kusalitiana,halafu nimegundua mwanamke mara nyingi hataki mpenzi mpya,akiachwa huanza kumtafuta ex wake wa zamani hata kama ex wake yupo kwenye mahusiano na hujaribu kurudisha mawasiliano moja kwa moja kwa kukuandikia sms za salamu na mwisho wa maongezi atakwambia nilikuwa nakusalimia tu! Au kwa njia nyingine mfano anaweza akakuposti kukuwishi happy birthday au akaposti zawadi uliyowahi kumnunulia au akaposti,ndugu yako,rafiki kwa kuandika status ya kuonyesha hisia kuwa wapo pamoja na anatambua uwepo wa ndugu hao
Anaweza kumfumania (live)mpenzi wake ana mwanamke mwingine saa 10 za jioni,mwanaume kama kawaida akagomba na akakasirika lakini huyu mwanamke ataanza kumuomba msamaha na saa 3 za usiku mwanamke atampa penzi na huku saa chache alitoka kumfumania mwanaume
Wanawake hawa huwa mapungufu gani?