Hakuna dhambi inayouma kama unatembea na msichana wa watu unamuharibia malengo
Unamvuruga saikolojia na perfomance yake ya kazi au maisha
Unaishi naye au unakuwa na mahusiano naye unamdamganya...
Wasichana wa siku hizi ni zaifu sana. Kwa 98% wasichana huwa awajitambui na kujali afya zao. Kwani wakiwa chumbani huwa awakumbuki kujikinga zidi ya magonjwa ya zinaa. Badala yake ujisaau na...
Habari za siku nyingi wanajamvi!
Leo nimeona niulize hili swali mahususi kwa wanawake!
Kwa wale wanawake ambao wanaume zao wanakaa mbal kikazi nikimaanisha miezi3 na zaidi au walio nje ya nchi...
Kuna makundi mawili Ya wanawake na makundi mawili Ya wanaume
Makundi Ya wanaume
1.aina Ya kwanza Ya mwanaume ni yule mwenye homoni tupu za kiume
Hawa tabia zao huwa na mfume dume,na mara nyingi...
Unaweza ukamtongoza mwanamke akakataa kata kata ila akakwambia napenda tuwe marafiki tu,ukageuza geuza lakini msimamo wake ukabaki pale pale ukaamua mkawa marafiki kweli,sasa mambo ya mapenzi...
Habari za weekend jf wote baada ya mapunziko sasa mnatafakari j'tatu mpya
Ni muda mfupi uliopita nipo geto kwangu chumba cha pili kinasikika sauti ambazo haziashirii amani nimetega sikio...
Kuna mwanamke ananipenda kwa sana na ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo moja tu kashindwa kuishi na watoto wa kaka angu yani anawachukia ni balaa!
Kwakweli naona katika hilo atanisamehe maana...
Wadau konichua,
Kuna kitu ambacho kimenishinda katika maisha yangu, labda wanamme wenzangu mtanisaidia. Siwezi kabisa kununua mwanamke anayejiuza, yaani mfnao nipite mtaani usiku nijitwalie mmoja...
wakuu habari
Moja kwa moja kwenye mada ya Leo,, ilikua wiki mbilli passed. Nilipata demu mmoja,,kwa mujibu wake anasema alikua na basha mmoja tu kashaachana nae,,,nilipoingia nae on bed kumvua...
Jana katika uzi huu Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu mwana mama Raynavero alilalamika sana na kipenzi changu Shunie kawaka si kawaida. Katika kutafuta...
Wife wangu anapenda sana kuvaa nguo zangu, mashati na fulana, zenye harufu ya jasho.
Anadai anajisikia raha fulani hivi asioweza kuelezea!
Vipi wadau hii kitu ni normal? Na je? Inaweza...
Katika dunia hii iliyojaa rabsha,karaha na madhila lukuki, Mwenyezi MUNGU alituruzuku Mahaba ili yatuliwaze.
Ewe binti mrembo,uliyeumbwa ukaumbika,mkazi wa dar es salaam,ningependa Kuwa nawe...
Hapa nazungumzia kuachwa na mpenzi amekukataa katakata yaani ukitizama huna kosa makosa ni yake na kakutafutia vijisababu na chokochoko ili akuache tu
Mtu kama huyu siyo wa kumlilia na...
Habari zenu wakuu.
Naweka uzi maalum kwajili ya kukumbushana visa mbali mbali vilivyotukia katika harakati za kutafuna papuchi mwisho wa siku unashindwa kupiga shoo..hii inaitwa mission impossible...
Habarini za mchana wanaJF na members wote wajukwaa penda la MMU.
Niende kwenye mada husika:
Nimekuwa na tatizo la kutopenda kuwa na mpenzi wa kudumu, sitamani kabisa kuwa kwenye mahusiano...
Amani kwenu wana Jamvi,
Leo ningependa kuwakumbusha kina Dada kuhusu maumbile yao.Mungu aliumba binadamu na kutupa maumbile tofauti wengine tukawa wanaume na nyie mkawa wanawake.Kuna hulka...
Amani ya Muumba iwe juu yenu wote.
Ujumbe wangu leo uwaendee wana wake wote mlioolewa na mnaotarajia kufanya hivyo siku yoyote,Hv ndugu zetu nyie hii roho huwa MNAITOA WAPI?????. Mmekuwa msumari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.