Natafuta partner wa kike..

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu..
Sifa awe anaishi Dar au Zanzibar,..
Urafiki wetu utakuwa wa kufa na kuzikana (sizungumzii mapenzi).

Kwa alie tayari aje pm..
Nikipata mfanyakazi mwenzangu itapendeza zaidi maana tutakuwa tunabadilishana mawazo jinzi ya kijikwamua kutegemea mishahara tu...

Hata kama hauna kazi wewe njoo tu pengine inaweza kuwa zari la kuja kufahamiana kwa ukaribu zaidi na kukupatia kimtaji cha kufanya chochote.
....karibuni.
 
Last edited:
Siwezi kusahau siku nipo bar naagiza vinywaji kwa binti kisha nashangaa vinywaji idadi ile ile vinaletwa kwangu na kwa binti.

Baada ya raundi saba mhudumu akaniambia kaka yangu nakuonea huruma anayetoa vinywaji kwako na kwa yule binti ni Ngasa.

Niliumia sana.
 
Malizia ,badae ulimpa nini ngasa ?
 
Back
Top Bottom