Je, kabila gani hapa nchini linaongoza kwa uzuri wa mwanamke?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, uzuri wa mwanamke ni SIRI ya mwanaume lakini ki maumbile yaani sura na mwili pana kabila lina akina mama wazuri mno.
Nimejiuliza swali hili baada ya kukuta kwenye "Youtube" mtu mmoja akitoa maoni yake kama ifuatavo.
Yeye katoa makabila KUMI tu na kaanza na la kumi kama ifuatavo:-
10. Wahaya.
9. Wanyakyusa.
8. Wadigo.
7. Wasambaa.
6. Wanyamwezi.
5. Wanyaturu.
4. Wanyiramba.
3. Wachaga.
2. Wambulu.
1. Warangi.
Pamoja na kusifia uzuri wake pia katoa kasoro zake kila kabila, je wewe unaafiki utafiti wake?
 
Last edited:
Hawana MAHIPS WALA WOWOWO BALI ni flat screen ila kwa sura wamejaliwa hiyo ni nature yao il wapo baaadhi kama wale wa machame kidogo nahisi pale sio pure wachaga.
Samahani kama comment hii ita mkwanza mtu yeyote wa hukoo kilimanjaro:
Wamachame wapoje boss.

Nina mpango wa kuoa mmachame soon
 
Wamachame wapoje boss.

Nina mpango wa kuoa mmachame soon
Kiukweli wanawake wa kimachame wana ka utofauti kidogo na wanawake wa kichaga wa pande nyengine za kilimanjaro kwa kitu kimoja tu wao wana maumbo mkuu ninapoongelea maumbo namaanisha wana MAHIPSI na pia CHURA YUPO KWELI KWELI na ndiyo maaana nikasema inawezekana wakawa kipindi flani walichanganya damu na wabantu wengine.
ila wanasema ukimuoa kisha ukawa na mali halafu ukazaa naye anakuuwa sina uhakika juu ya jambo hili ila ni tetesi tu mkuu so nisikuvunje moyo.
 
Hawana MAHIPS WALA WOWOWO BALI ni flat screen ila kwa sura wamejaliwa hiyo ni nature yao il wapo baaadhi kama wale wa machame kidogo nahisi pale sio pure wachaga.
Samahani kama comment hii ita mkwanza mtu yeyote wa hukoo kilimanjaro:
Upo Sahihi Kiasi Flani, Wachaga Wa Marangu Asilimia Nyingi Wanachura, Sura Nzuri Mno, Isipokuwa Miguu Yao Ni Kama Chelewa.
 
Mkuu wewe ndiyo uelewe, kama wapo 10 bora jua ni wazuri ndiyo maana wakawepo hapo
Mkuu, elewa nchi hii ina makabila mengi na yeye amesema anatoa kumi tu kuanzia kabila la kumi kuelekea kabila la kwanza kwa uzuri na si makabila hayo kumi ndo wanawake wake ni wazuri kwa sura na umbo. Elewa huo ni mpangilio.
 
Back
Top Bottom