Usibadili tabia yako kisa marafiki feki

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Natumai marafiki zangu nyote mko salama na pia hatuna budi kumshukuru Muumba wetu ambae ndo muweza wa yote.

Katika kipindi chote cha maisha tunayoishi tunakutana na mitihani ambayo wengi wao wameshindwa kufaulu hususan kwenye kipindi cha mpito (teenage) kwa lugha ya kueleweka kipindi cha ujana maji ya moto.

Kipindi hiki unakutana na mambo mengi ambayo ukibahatika kuyaepuka mshukuru muumba wako kwa kuwa sio uwezo wako bali ni uwezo wa Mungu wako.

Vitu ambavyo tunakutana navyo ni kama ifutavyo:-

Epuka marafiki walevi: Hawa ni marafiki ambao ukijumuika nao hakuna kitu chochote kitakachoongelewa zaidi ya pombe ambayo haitaleta faida bali hasara kwako. Kikundi hiki niliepukana nacho hadi leo sijawahi kuonja hata kwenye kijiko cha chai.

Epuka marafiki wasio na malengo ya baadae: Hawa wanaingia kwenye makundi mawili,.. Wenye kazi na wasio kazi... Kuna wengine wana kazi na kipato kizuri tu ila hawakushawishi ufanye kitu cha maendeleo bali wanakurudisha nyuma... Kwa wale wasio na kazi, hata wapate kazi za vibarua basi pesa zao huishia kwenye kuponda mali mwisho wa siku wanarudi kwako kukuomba masaada ilihali za kwao wametumia ndivyo sivyo.

Epuka marafiki wanaozungumzia sana masuala ya punyeto: Hawa wanauwa kila kitu mwisho wa siku unajikuta unajaribu yanakukuta ya kuishia kwa waganga kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume hawa nao ni marafiki feki.

Epuka marafiki wenye kupenda night club: Hawa nao sio wazuri watakufanya uwe zwazwa hautakua unawaza vitu vyovyote vya maelendeleo zaidi za kuponda mali.

Kwa kumalizia ikiwa una msimamo wako uliokuwa nzuri baki nao...
 
Unawaepukaje...tupe na mbinu za kuwaepuka maana hawakawii kukuita mbinafsi ama una roho mbaya
 
Mkuu hujui jinsi ya kuepuka marafiki ambao unaona watakuharibia maisha yako ya baadae?
Ok,.. Mimi niliwaepuka marafiki walevi kwa njia hii.
Ukiona siku ya kwanza wamekuchukua safari ukaona sehemu wanazokupeleka sio nzuri bora ujifanye una dharura binafsi.

Kipindi nipo JKT Makutupora nilifata na watu wawili mida ya saa mbili usiku kufika veyula nikaona wameingia kwenye nyumba moja wakaagiza kangara. Niliapa kuwafata tena maana niliona sio wazuri kwangu.

Na sehemu nyingine ni maskani.. Walikua wanavuta bangi hatari ikifika kwangu nilikua nawaambia iruke.. Kwa upande wa sigara walinishawishi sana hadi sikufata matakwa yao mpaka nimefika hapa nilipo.
 
So ulijitenga nao kabisa wakawa si watu wako wa karibu
 
Natumai marafiki zangu nyote mko salama na pia hatuna budi kumshukuru Muumba wetu ambae ndo muweza wa yote.

Katika kipindi chote cha maisha tunayoishi tunakutana na mitihani ambayo wengi wao wameshindwa kufaulu hususan kwenye kipindi cha mpito (teenage) kwa lugha ya kueleweka kipindi cha ujana maji ya moto.

Kipindi hiki unakutana na mambo mengi ambayo ukibahatika kuyaepuka mshukuru muumba wako kwa kuwa sio uwezo wako bali ni uwezo wa Mungu wako.

Vitu ambavyo tunakutana navyo ni kama ifutavyo:-

Epuka marafiki walevi: Hawa ni marafiki ambao ukijumuika nao hakuna kitu chochote kitakachoongelewa zaidi ya pombe ambayo haitaleta faida bali hasara kwako. Kikundi hiki niliepukana nacho hadi leo sijawahi kuonja hata kwenye kijiko cha chai.

Epuka marafiki wasio na malengo ya baadae: Hawa wanaingia kwenye makundi mawili,.. Wenye kazi na wasio kazi... Kuna wengine wana kazi na kipato kizuri tu ila hawakushawishi ufanye kitu cha maendeleo bali wanakurudisha nyuma... Kwa wale wasio na kazi, hata wapate kazi za vibarua basi pesa zao huishia kwenye kuponda mali mwisho wa siku wanarudi kwako kukuomba masaada ilihali za kwao wametumia ndivyo sivyo.

Epuka marafiki wanaozungumzia sana masuala ya punyeto: Hawa wanauwa kila kitu mwisho wa siku unajikuta unajaribu yanakukuta ya kuishia kwa waganga kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume hawa nao ni marafiki feki.

Epuka marafiki wenye kupenda night club: Hawa nao sio wazuri watakufanya uwe zwazwa hautakua unawaza vitu vyovyote vya maelendeleo zaidi za kuponda mali.

Kwa kumalizia ikiwa una msimamo wako uliokuwa nzuri baki nao...
Safi sana hadi nimeipenda hii
 
kuna watu wanakunywa bia kila siku . na club kila wekend ila kwa maendeleo hawagusiki.. wanakwambia ukijua kutafuta hela kwa nguvu lazima ujue na kuitumia pia
 
Sawa lakini kuna kitu lazima kitakua kinampiga chenga tofauti na ukiwa hautumii kabisaa.
 
Nakubaliaaaaaana nawewe mkuuuu.

Kamwe usifanye kosa lakuchaguaa rafiki!!! Rafiki mwema atakufanya uzidi kua mwemaaaaaa rafiki pumba atakufanya uwe pumbaaaaaa\.

Hii ina aply hata ktk machaguo ya wapenzi.

Eti mimi sinywi pombe, kuna demu anakunywa pombe..... Sasa kimbembe kilianza pale alipotaka namie niwe nakunywa ....kwenda zake

Saizi nmetulia tuliiiii na ndege wangu.
 
Cc: Cha mdeko.
 
Back
Top Bottom