Ubize umemfanya atoe mimba yangu,,,

Ubize umemfanya atoe mimba yangu,,,

patricl

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
508
Reaction score
300
Kama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa bure penzi lake,,,, nifanye nini aelewe ninampenda hata kama ametoa ujauzito?


Hili suala linanyima usingizi,,,,
 
Endelea kuhesabu mabati kama umekosa usingizi
 
Pombe mbaya hueleweki ulichoandika!!

asubuhi kukicha utaukana huu uzi mara 3 nakwambia
 
Kama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa bure penzi lake,,,, nifanye nini aelewe ninampenda hata kama ametoa ujauzito?


Hili suala linanyima usingizi,,,,

Ubinafsi wa binadamu huu hapa
 
We jamaa inaonesha unaroho mbaya sana, mtu katoa mimba yako sababu ikiwa ni wewe, huonesh hata hisia ya kujutia kiumbe cha mungu kisicho na hatia wala mamayake alivy/anavyoteseka, unakuja kuonesha hisia zako za upendo wa kimapenzi, kweli inakuja hii?

Am sure your father loved/loves your mother soo much, that why your here, if he could knew that the results of his sperm is such a brainwashed with aliens heart child, he couldn't have to implant in to his lovely wife womb through that blessed hole, he could have to use condom or may be to musturbet and dump it in the toilet chamber. Your totaly a lost sperm.

Sali sana, ni bora ukose upendo kuliko ubinadamu. Umeniharibia siku asubuh subuh hii, huyo dada asirud kabisa hasa kama akili na moyo wako haupo tayari kubadilika, usiendekeze ujana na ngono kiash hcho mwenyewe pengne umekuja kwa bahat ilikua na bao la mwisho, yaan daaah ngoja niishie hapo, ila naomb ukae na kuomba.
 
Akinikubalia mbn ntalala , cjui ntumie mbinu gan mkuu[emoji86] [emoji86]
Huongei nae ktk sim wala hujibu sms zake, kisingizio "uko bize", hata akikukubalia utajuaje
 
Ana akili sana kutoa hiyo mimba.

Next time awe muangalifu zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom