Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jf Kuna jambo linaniacha nikijiuliza maswali mengi sana bila majibu Je instagram ndo sehemu Ya kutangaza privacy zenu? Kila kitu instagram inashangaza sana Mungu aturehemu sisi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila mtu anatamani ingekuwa rahisi kupata mwenza ampendae. Yaani umemuona fulani, ukavutiwa nae na kutaka kuanzisha mahusiano wala hakusumbui. Inakuwa ni kama kumsukuma mlevi tu. Ila kuna wengine...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna jambo linanitatiza. Mfano una mchumba mwenye mtoto lakini pia bado anaitana wifi na dada wa x zake kila muda wanaitana wifi hii imekaaje?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
[emoji121] MOJA KWA MOJA KWENYE MADA!!!! WAKUU, NINA MDOGO WANGU WA KIUME ANASOMA KIDATO CHA 3 SHULE FULANI HUKO TANGA, HUYU DOGO NI MTARATIBU, MTULIVU, MWELEWA NA MSIKIVU, NA AMEJAALIWA KIPAJI...
30 Reactions
87 Replies
9K Views
Habari wakuu. Ivi ni kweli wanaume tukitongozwa na wanawake hatukatai. Au wanatusingizia hawa wenzetu. Ivi ni kweli wanaume tumekua dhaifu kiasi hiki. Kwamba hakuna mwanamke asiekataliwa na...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Nakumbuka nikikuwa young ila nilikuwa ni na umri wa kuelewa jambo. Nililelewa kwenye familia standard i mean mahitaji ya muhimu hukosi. Familia ilikuwa ya dini na pia ina mapenzi ya kutosha kwa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za jioni ndugu za sita acha kuwaelimisha ususani ili mjue kwamba nawapenda wote bila kujali jinsia. Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari za jioni Swala la mahusiano limekuwa changamoto sana hasa kwa sisi wanawake tunaishia kulalamika wanaume wote ni wachezeagi tatizo liko kwetu tubadilike. Tuzingatie hili swala kabla...
19 Reactions
55 Replies
5K Views
Ok ukivitambua hivi hutapata shida kabsa katk swala la mahusiano , kuna kitu kinaitwa mtazamo(persipective) ni swala lolote lile ambalo linakupa picha kwa jambo unalokutananalo au kuona kwa mara...
6 Reactions
40 Replies
12K Views
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na...
23 Reactions
262 Replies
29K Views
Tangu nilipoumizwa mara ya kwanz Na ya mwisho 2013 cjawah kuumizwa tena.kwann watu wanapenda tena with so much love kulko Ile previous afu wanakuja kuumia tena yan unakuta mtu analia katika...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu kuwa Wanaume wote mu wazima wa Afya Napenda kuwakumbusha baadhi ya Wanaume ambao hawajui wajibu wao kwa Wenzi wao, Mwanaume unapoamua kuishi na Mwanamke ni kwamba uko tayari...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau Mimi ni mdada wa miaka 27 kuna hiki kitu nashindwa kukielewa ni kawaida ama nina mapungufu. Nimepita kwingi kwa maana ya kukutana na watu tofauti tofauti kuanzia primary, olevo...
5 Reactions
116 Replies
10K Views
Habari za jioni wakuu... Binafsi kwangu ni vigelegele kwa wingi, mambo si haba mke wake angu ananitunza vyema. Tena leo amefanya mapishi motomoto kweli.. Najua utakumbuka juu ya wasiwasi wangu...
2 Reactions
63 Replies
13K Views
Sijui ndo mambo ya kileo, sijui ni over-confidence, sijui ndo mmetuzoea sana wanaume Sijui ndo zama zimebadilika na haya ndo mabadliko yenyewe Sijui wazazi wenu nao ni .com na hayo ndo malezi...
6 Reactions
41 Replies
7K Views
Enzi za babu zetu maisha yalikuwa safi sana, hata kama mwanaume huna kazi na chochote unachokipata na hata kama ni kidogo vipi mama zetu walikuwa wanavumilia sana na kukubali maisha kama yalivyo...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Hapa nazungumzia unakuwa na girlfriend full ma style kama yote kitandani lakini haumpendi toka moyoni! I tell you! Utafurahia sana relationship ya aina hii!hapa utakuwa huna wivu,huna stress,wala...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za Jumanne natumaini wote ni wazima wa Afya njema... Nimekua nikiona wasichana na wanawake wakizeekea majumbani mwao pasipo kuolewa. Pia nimekua nikisikia malalamiko ya kina Dada baadhi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Niende kwenye mada moja kwa moja, mimi ni kijana Miaka 24, ambaye ni mtoto wa kwanza wa kiume kwenye familia yenye watoto wanne, wa kiume nikiwa mimi peke yangu baada ya...
2 Reactions
99 Replies
52K Views
Rejea somo tajwa hapo juu Tukiwa tunamalizia weekend hii wadau. Hebu tujaribu kukumbusha ni namna gani mliweza kuachana na x - wako. Kiukweli katika mahusiano mengi watu wanapitia challenge za...
2 Reactions
104 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…