MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
Habari za Jumanne natumaini wote ni wazima wa Afya njema...
Nimekua nikiona wasichana na wanawake wakizeekea majumbani mwao pasipo kuolewa.
Pia nimekua nikisikia malalamiko ya kina Dada baadhi yao wakisema kwamba wao hawana bahati ya kuolewa.
Ila nimechenguza na nimegundua kwamba wakina Dada wenyewe ndio usababusha mwanaume kutokufikilia kuoa haraka. Kutokana na tabia na mwenendo wa kina wa Dada.
Ebu jiulize wewe mwenyewe Dada yangu. Mwanaume Unakwenda kwake Unampikia, Unamfulia, Unamtandikia kitanda, Unamchotea maji, Na unampa mpaka Tendo la ndo...Sasa kama hanavipata hivyo vyote toka kwako kwa nini haumize kichwa kukuoa haraka ikiwa anapata tendo lenyewe usika ususani mapenzi...? Mwisho wa siku unajikuta unaachwa unapata mwingine naye unampa anaona poa tu mwisho wa siku anakuacha bado tu unashindwa kutambua makosa yako yapo wapi....Unaangaika kutafuta mchawi...Mchawi ni wewe mwenyewe ndiye unaye jiroga.
Kama kweli Dada yangu unamsimamo na unaitaji mume wa ndoa hakika huwezi kosa kuolewa hamini kwamba.
Mwanaume akikwambia nakuraka nakupenda kama na wewe unamuitaji mwambie karibu nyumbani huongee na wazee uje unichukue hakika kama ni mchezeaji huwezi kumuona tena akija kwako. Na kama kweli hana nia na wewe ni lazima utamuona anafuraha kwa hiyo nafasi uliyo mpatia na hato poteza muda hatakuja kwenu kama ni muhoaji lakini si mchezeaji.
Sio mwanaume anakutongoza anakudanganya anakupenda na hatakuoa Basi unanogewa na maneno unalegeza unamvulia nguo ya ndani utapotea utaishiwa kuchezewa....kama anania kweli mwambia karibu nyumbani.
Najua wanaume wachezeaji hawawezi kuufurahia ujumbe huu kwani wanaona kuwa nawaharibua Upataji wao hila ni kweli tupu.
Usiangaike kutafuta mchawi nani kakuroga sijui huolewi Mchawi ni wewe mwenyewe ndiye umejiroga kwa kujitanua miguu yako na kuzungusha nyonga zako kwa mwanaume na kujiachia mwisho wa siku anakumwaga ndipo unazidi kuaribikiwa.
Ni hayo tu ni mshauri mzuri wa masuala ya mausiano ususani mapenzi unaweza nicheck INBOX nikakupa mawazo zaidi.