The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Habari wana jf
Kuna jambo linaniacha nikijiuliza maswali mengi sana bila majibu
Je instagram ndo sehemu Ya kutangaza privacy zenu?
Kila kitu instagram inashangaza sana
Mungu aturehemu sisi kizazi cha Instagram