katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,083
- 5,659
Nakumbuka nikikuwa young ila nilikuwa ni na umri wa kuelewa jambo. Nililelewa kwenye familia standard i mean mahitaji ya muhimu hukosi. Familia ilikuwa ya dini na pia ina mapenzi ya kutosha kwa watoto. Ukiwa unafanya jambo unakuwa unaadhibiwa kama ni umekosea ila maisha yetu hayakuwa ya shida kusoma unasoma vizuri bila mawazo.
Asubuhi ya mwisho kumuona Baba ambapo sikuwa najua kuwa ndio mwisho wake niliaga naenda shule na kurudi nikakuta nyumba imebomolewa vitu vimechukuliwa vyote, gari limeibiwa, pesa kwa safe hakuna chochote hakuna.
Nilipoenda mlango wa nyuma nikamkuta baba yangu ninayempenda kakatwakatwa na kila kiungo kimegawanyika. Sio yeye tu na kijana wakazi wote damu ikiwa imetiririka kama mto Wami.
Nilikuwa nimezoea maisha ya furaha amani na kujaliwa kama malkia Cleopatra, hakuna kitu niliwahi kosa. Hapo bi mkubwa kashastaafu na mimi ndio kwanza nasoma na baada ya kila kitu ndugu wa baba wakadai tutoke kwenye nyumba na kumvizia bi mkubwa kumpa kipigo cha mbwa akiwa anaelekea kanisani.
Je, ingekuwa wewe ungefanyaje?