Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 678
- 853
Sijui ndo mambo ya kileo, sijui ni over-confidence, sijui ndo mmetuzoea sana wanaume
Sijui ndo zama zimebadilika na haya ndo mabadliko yenyewe
Sijui wazazi wenu nao ni .com na hayo ndo malezi wanayowapa
Unampigia dem wako simu hapokei, anakaa mda anaotaka na akija kuona missed call anakutext PIGA
Asee najaa sumu balaa,,, yani mtu
ashakupotezea mda, lengo au jambo
ulilotarget kumwambia kwa wakati huo
afu anakuja kukuamrisha PIGA
Mi sipigagi wazee wenzangu labda nyie