Wanaume wapendeni na kuwajali Wenzi wenu

Wanaume wapendeni na kuwajali Wenzi wenu

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
10,668
Reaction score
9,094
Ni matumaini yangu kuwa Wanaume wote mu wazima wa Afya

Napenda kuwakumbusha baadhi ya Wanaume ambao hawajui wajibu wao kwa Wenzi wao, Mwanaume unapoamua kuishi na Mwanamke ni kwamba uko tayari kumjali, kumhudumia, kumpa haki zake za msingi n.k. Leo hii Mwanaume uko ndani na Mwanamke, Mwanamke anaumwa humjali kwa chochote wewe uko busy na dogodogo mtaani, Mwanamke kwa kuona hivyo na yeye anaamua kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwingine ambaye hamjui hali yake kiafya.

Wanaume msiojali wenzi wenu badilikeni mnakaribisha matatizo katika familia zenu.

Wanaume msiowajali wenzi wenu Mungu anawaona.
 
Ushauri mzuri.
Tumesikia na tumebadilika sana naona wanafurahia hata wao.
 
Back
Top Bottom