Sometimes kuna raha yake!

Sometimes kuna raha yake!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Hapa nazungumzia unakuwa na girlfriend full ma style kama yote kitandani lakini haumpendi toka moyoni!
I tell you! Utafurahia sana relationship ya aina hii!hapa utakuwa huna wivu,huna stress,wala huna msongo wa mawazo!yaani akikupigia poa,asipopiga poa,ila ukimwitaji anakuja haraka kama mafuriko ya jangwani!
N;B ukitaka kufa mapema Penda!nasema penzi la dhati!narudia tena Penda bila kuishirikisha akili kwa asilimia 99%
 
Kwanini upende mademu hawa wakibongo..we kula tu, piga mashine tu..bt jua hata mkeo mtarajiwa ndicho anachofanyiwa, dadako ndcho anachofanyiwa na watoto wako wakike nao ndicho watakachofanyiwa..none sense
 
Umeongea kwa uchungu sana aisee!Punguza msongo wa mawazo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanini upende mademu hawa wakibongo..we kula tu, piga mashine tu..bt jua hata mkeo mtarajiwa ndicho anachofanyiwa, dadako ndcho anachofanyiwa na watoto wako wakike nao ndicho watakachofanyiwa..none sense
Mkuu hii dunia yetu ina vikanuni vidogo vidogo lakini muhimu kuvijua
images.jpeg
 
The world is not fair tusidanganyane. Ila huyu kasema ukweli. Penda kwa akili tu maana hawa viumbe hawanaga shukrani. ....no woman no cry . ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom