Hivi ni kweli wanaume hatukatai?

Hivi ni kweli wanaume hatukatai?

Heavy Weight

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
888
Reaction score
885
Habari wakuu.

Ivi ni kweli wanaume tukitongozwa na wanawake hatukatai. Au wanatusingizia hawa wenzetu.

Ivi ni kweli wanaume tumekua dhaifu kiasi hiki.
Kwamba hakuna mwanamke asiekataliwa na mwanaume, au hawakufanya vizuri utafiti wao.
GBWA-20180811174743~2.jpg
 
Mi nimeshawakaa wengi tu mbona na walikuja kwa njia ambao.... hadi wengine walilia kama watoto
Ulitumia mbinu gani kuwakataa mkuu. Uliwakataa moja kwa moja au ulikua unawakwepa bila kuwaambia direct.
 
Mie kwangu ni zali la mentali natamani waje waniombe penzi sinaga hiyana.
 
Ulitumia mbinu gani kuwakataa mkuu. Uliwakataa moja kwa moja au ulikua unawakwepa bila kuwaambia direct.
Kuna mmoja nilimwambia nataka awe dada na sio zaidi.. alivyozidi sana nitaweka mazingira ya kutokuja kwangu
 
Hivi umeona wapi mtu anataka kukupa Hela eti unakataa na kusema kwamba una mshaharaa....hebu wacha undezi bana tafuna sepaaa
 
Niliwahi kuandikiwa barua nikaichanachana hadi leo mwaka wa 15 cjawahi pata chance kama ile.
 
Back
Top Bottom