Nawezaje kumtambua mwanamke aliyewahi kujifungua?

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
Habari wakuu,kuna jambo limenitatiza japo kwa wengine inaweza kuwa rahisi kulingana na asili ya mazingira waliokulia.Kwa ufupi nina mchumba tumeahidia kuishi pamoja hapo baadae,tatizo limekuja wakati tunanjunjika kwa mara ya kwanza (sababu tulikua maeneo tofaut haikua rahisi kuonana mara kwa mara)

Mrembo wangu maziwa yameshuka ili linamtatiza mpaka yeye anaficha kwa kufunik na kipande cha nguo,kule chini mamb sio haba kuna space ya kutosha kwa kawaida kumfaham aliekwisha jifungua unazamish vidole viwili kwa wakat mmoja vikipita basi hapo tayari.

Pia kwa upande wa tumbo limelegea sana upande wa mbele linamwonekano flani wa makunyanzi.Japo kuwa mapenzi ni upendo ila kudanganyana sio suala zuri ni chanzo mahusiano mengi kupungu na kufa kwa ujumla.

Najua sio hekima na busara kuuchambua urembo wa mpendwa wangu ila ningependa kujiondoa hofu niliyonayo.Nategemea kupata michango mbalimbali toka kwenu lengo langu ni kujihakikishia tayari au bado ikumbukwe pia abortion ni nusu ya kujifungua.
 
Ningeweza kukushauri uoe kama umeamua kuoa ila kama hajakueleza ukweli hapo siwezi kukushauri chochote zaidi ya kutegemea akili zako zaidi.

Hatakama alizaa kisha mtoto akafariki anatakiwa akueleze ukweli.
 
Nadhani ingekua vema akawa muwaza kwenye suala nyeti kama hili,ingependeza zaidi.
 
Aliekwisha jifungua chuchu zinakua na mwonekano gani???

Je kwa alifanya abortion hapo awali mwonekano upo vipi????
 
Habari wakuu,kuna jambo limenitatiza japo kwa wengine inaweza kuwa rahisi kulingana na asili ya mazingira waliokulia.Kwa ufupi nina mchumba tumeahidia kuishi pamoja hapo baadae,tatizo limekuja wakati tunanjunjika kwa mara ya kwanza (sababu tulikua maeneo tofaut haikua rahisi kuonana mara kwa mara)

Mrembo wangu maziwa yameshuka ili linamtatiza mpaka yeye anaficha kwa kufunik na kipande cha nguo,kule chini mamb sio haba kuna space ya kutosha kwa kawaida kumfaham aliekwisha jifungua unazamish vidole viwili kwa wakat mmoja vikipita basi hapo tayari.

Pia kwa upande wa tumbo limelegea sana upande wa mbele linamwonekano flani wa makunyanzi.Japo kuwa mapenzi ni upendo ila kudanganyana sio suala zuri ni chanzo mahusiano mengi kupungu na kufa kwa ujumla.

Najua sio hekima na busara kuuchambua urembo wa mpendwa wangu ila ningependa kujiondoa hofu niliyonayo.Nategemea kupata michango mbalimbali toka kwenu lengo langu ni kujihakikishia tayari au bado ikumbukwe pia abortion ni nusu ya kujifungua.
Acha hizo wewe.....pga mzgo huo
 
Acha hizo bhana, anakuheshimu? Ananidhamu? Unamuelewa sana? Unamkubali? Anafaa kuwa mke? Basi hayo achana nayo, ila tafuta mtu wake wa karibu anayeweza kuwa mkweli kwako akupatie historia yake kama.aliwahi kuzaa utajua, zaidi ya hayo OA
 
Back
Top Bottom