Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie.
Mimi nilimpenda binti mmoja hapa Dar es Salaam nikataka kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 nami naishi kwenye chumba cha elfu kumi na tano sasa nikawa sina hiyo pesa.
Binti nikampa zawadi ya kunikumbuka yaani kifurushi cha miezi tisa nikatuma watu waende kwao na mahari. Binti akagoma kuwa mahari haotoshi mi nikacool maana yupo Zanzibar mpaka dakika hii na kwao hawajui kama ana mimba.
Sasa amekuwa mtu wa kiburi na anapenda kuwa na hasira muda mwingi. Sasa nifanyeje maana sikupenda maishani mwangu nizae watoto tofauti tofauti amebadilika tangu amepata mimba ana hasira hatari nimfanyeje huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app