Ushawahi mkimbia mwanamke chumbani?

Ushawahi mkimbia mwanamke chumbani?

never Se me

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
702
Reaction score
1,013
Ilikuwa mwaka 2013 ndo kwanza nimemaliza form 4 shule ya kata.

Nikaenda zangu Malawi apo mzuzu wabongo tunapendwa sana Malawi.

Basi nikajipatia kimwana, ukimwambia chachani pa bed fastar unapewa papuchi.

Kuingia gettho msichana ana mkuyenge nilikimbia sitosahau.
d260ed83e7fd7d4adc5001b12d568160.jpg
 
nilikimbiwa mimi nakumbuka ile gesti ilikuwa choo cha nje kumbe yule demu alitime alichukua wallet na simu handbag aliaacha akatoka na kanga mbili nguo alizokuja nazo aliacha.

baada ya siku kama tatu alinicheki kuulizia vitu vyake kama nilimchukulia, uzuri nilimbebea.

ila mpaka leo hajanambia sababu ya kunikimbia
 
mhhhhhhh
 
Dah mi siwahi kumbia au kimbiwa na demu kwanza siend na wallet,pili sikurupuki ,tatu tamaa naweka pemben maana papuch ziko nyingi ,nne mpaka nimpende ndo namgegeda,tano lazima tupime
 
Asanteee sanaaa, jamani nakupenda, nawapenda sana asanteni kwa aya maupendo naona naongezeka tu kilo
tuma picha basi nione hizo kilo ili nijue kama i love you zangu zinaenda kihalali au naibiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom