Ndoa yangu inataka kuvunjika, nishaurini cha kufanya

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
673
1,082
Habari za muda huu wanajamvi.
Mimi nina mke na watoto wawili saiv, nina umri wa miaka 35 na mke wangu ana umri wa miaka 30 kwa sasa.

Mwaka jana nilipata scolarship ya kwenda nje ya nchi (ulaya) kimasomo kwa muda wa miaka 2. Wakati nipo chuo nimejikuta nimeanza mahusiano na binti wa miaka 25 wa nchi jirani na tz na imetokea tumekuwa marafiki sana, na wengi wanachuo wanadhani tumetoka nchi moja na tunajuana siku nyingi na mahusiano yetu kwa jinsi yalivyo wanahisi tumetoka nayo Tz.

Hivi karibuni nilipata dharura ya kuja nyumbani nikaonana na mke na wanangu. Nilipofika familia yangu walifurahi sana kuniona, pia mke wangu alionesha kunikumbuka sana. Kilichotokea wakati wa kulala nilipojaribu kufanya mapenzi na mke wangu nilishindwa. Nikasingizia afya yangu haiko sawa. Ila kadiri siku zinaenda sikuweza chochote mpaka muda wa kuondoka umefika ila hali iko vile vile. Cha ajabu nikiwa nachat na yule binti akinitumia picha zake za nusu uchi nadindisha vizuri tu.
Sasa najiuliza tatizo liko wapi? Mke wangu analaumu sina hamu kwa sababu nimepata wazungu, mara anataka ndoa ivunjike n.k. Nisaidieni ushauri ndugu zangu.

N.B Msinilaumu kwa kuchepuka kwa sababu wanaume wengi tunachepuka hata tukiwa na wenza wetu karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie mnaoleta mikasa yenu humu ndani hivi wake zenu huwa hawatumii jf au vipi
Maana kama wana 🆔 zao humu si anajua kabisa unamsaliti huwa najiuliza sipati majibu

Anyway umeomba ushauri elewa ndoa ni jambo takatifu uliapa kanisani hutomwacha mkeo utamthamini na kumtunza unachokifanya sio sahihi
Tubu Mungu atakusamehe na ataingilia ndoa yako
Kumbuka
Umfanyiacho mtu ndicho hicho hicho utafanyiwa
 
Mkuu Pole sana sana,wala hujawekewa Dawa,ni Kawaida tuu Mkuu,cha Msingi Mwmbie huyo Mwanafunzi mwenzako ukweli kuwa Umeoa,na Mpo na Yeye kwa Muda Tuu,jaribu kukumbuka Mazuri mliofanya na Mkeo,Fanya Mazoezi,Kula Vizuri,Muandaane,tokeni Muende hotel wawili tuu.
Pia jambo hili huwapata hata Wadada,Mdada anapopata Mwanaume nje nae huwa hivyo hivyo,kutosikia hamu ya Mapenzi na Mumewe,kama Kuna Baadhi ya Vitu alikuwa anavifanya vya kimapenzi kwa Mumewe husitisha...iko Pande zote Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wanajamvi.
Mimi nina mke na watoto wawili saiv, nina umri wa miaka 35 na mke wangu ana umri wa miaka 30 kwa sasa.

Mwaka jana nilipata scolarship ya kwenda nje ya nchi (ulaya) kimasomo kwa muda wa miaka 2. Wakati nipo chuo nimejikuta nimeanza mahusiano na binti wa miaka 25 wa nchi jirani na tz na imetokea tumekuwa marafiki sana, na wengi wanachuo wanadhani tumetoka nchi moja na tunajuana siku nyingi na mahusiano yetu kwa jinsi yalivyo wanahisi tumetoka nayo Tz.

Hivi karibuni nilipata dharura ya kuja nyumbani nikaonana na mke na wanangu. Nilipofika familia yangu walifurahi sana kuniona, pia mke wangu alionesha kunikumbuka sana. Kilichotokea wakati wa kulala nilipojaribu kufanya mapenzi na mke wangu nilishindwa. Nikasingizia afya yangu haiko sawa. Ila kadiri siku zinaenda sikuweza chochote mpaka muda wa kuondoka umefika ila hali iko vile vile. Cha ajabu nikiwa nachat na yule binti akinitumia picha zake za nusu uchi nadindisha vizuri tu.
Sasa najiuliza tatizo liko wapi? Mke wangu analaumu sina hamu kwa sababu nimepata wazungu, mara anataka ndoa ivunjike n.k. Nisaidieni ushauri ndugu zangu.

N.B Msinilaumu kwa kuchepuka kwa sababu wanaume wengi tunachepuka hata tukiwa na wenza wetu karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu aliyekuloga, una tatizo la kisaikolojia. Mbaya zaidi ni pale uliposhindwa mara ya kwanza alafu mke akaanza kukulaumu... Hapo ndipo kila kitu kilipoharibika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom