my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
acha kujitia tia basi utazani duniani yko mmoja. Acha kupoteza mda tembea mbele tafuta mwingine mlishindwa nini sasa ndio mtawezana? au amebadilika nn ni yule yule hawez badikika hyo
Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu