Natafuta Mke wa kuoa

Sep 5, 2016
56
76
Mimi ni kijana mwenye Umri wa Miaka 28 natafuta Mke, sina kazi maalum Bali ni mpambanaji. Ni mrefu wa wastani, Nina Mwili ambao ni Presentable na Watu wanapenda kuniiita Gurdiola wa Tz. Kwa sasa Nipo Dar

Mchumba awe na Vigezo vifuatazo
1. Bikira (Compulsory)
2. Miaka isiyozidi 25.
3. Awe na kazi na anayependa kujishughulisha.
.4. Awe na Malengo Makubwa ktk Maisha zaidi ya kuwa Raisi Tanzania hapo baadaye.
5. Awe mcheshi
6. Awe mcha Mungu-Kristo
7. Aamini kuishi Maisha ya furaha daima ingawa changamoto zipo lkn Amani muhimu na suala la Kuaccept na kuendelea na Maisha.


Vya Ziada;
1. Nitakuwa mwaminifu kwake
2. Najua Jamii za Kiafrica tulivyo na yeye ajue hilo.

Note: Uamuzi umefikiwa na Mimi mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote. Na nimefanya hivi baada ya Kuasses malengo niliyojiwekea kabla ya Kuwa na Miaka 30. Msisitizo “Nahitaji Mke wa Kujenga Naye Familia itakayokuwa ya Mfano kwa Taifa la Tanzania na Dunia “

Aliyetayari anaweza nipm na kuanza Recruitment ya haraka ya Love of My Life.
God Bless Me,
God bless the United Republic Of Tanzania.
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
20,869
56,913
Endelea kua subira, wanakuja ndokwanza uzi una dakika nne.

Sema nn, wakiona kigezo namba moja cha Bikra... Wanakusonya haooo na matusi ya moyoni.

""Uyu naye anajifanyaaa wakat mtu mwenyewe hana kazi maalumu ,alafu naye nyoooo nyoooo bikra, siuzae wakwako ".

Mzee baba inabidi uwe na moyo mgumu tu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom