Be like me
Member
- Aug 21, 2018
- 22
- 20
Habari wapendwa.
Niko na 46yrs, divorced man with 2 kids.
Nahitaji mwanamke kuanzia 35 and above tutakae kubaliana na matakwa yetu.
Naendesha biashara yangu ndogo, na nina maisha yangu ya kawaida sana sina makuu.
Napenda furaha au kufurahia maisha kwa hali yoyote.
Mambo ya msingi:
1- ajue tunaanza upya from the begining, - mali zangu zote nilishaandikia watoto wangu.
2- nyumba ninayoishi ni yangu, ila lazima aelewe anatakiwa kufikiria ya kwetu mpya, sababu tukibarikiwa watoto wapate kwao......am christian.
3- ajue kazi ndio msingi wa maisha tutashirikiana kuimarisha uchumi wa familia pamoja
4- if you got watoto, one thing uelewe ni wako, so usinilazimishe lolote ila ujifunze kunijengea mazingira ya kunifahamu na kuzoeana pole pole tena sana.
5- am chagga man napenda my life, nimechoka kuwa bachelors for 8yrs now, am glad am happy.
6- am a realy drunker, ila sio mlevi just for fun, na mara nyingi home tena weekend, nikiwa nina furaha sanaaaa, navuta sigara.
7- mengine utayajua pole pole
Tukutane PM -- wanawake
Kama unajijua wewe ni mwanaume usiguse hapa tafadhali, ukigusa ushakuwa mwanamke.
KARIBUNI