Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nadhani wanaume wengi tunapitia hii changamoto hii hasa kwa wanawake wa kiafrica(wanawake wa kizungu hawana time)ni swali lao pendwa ....
Hivi una mpango gani na Mimi unataka kuniowa au unataka kunichezea!?
Sasa mtu papuchi hujapata utasema vipi nataka kukuchezea!!?
Msitulazimishe na viswali vyenu!mapenzi ni safari kila mtu akifika kwenye kituo chake anashuka!
Tchao!
Sent by Diaspora