Wanawake mnaona maafa mnayosababisha?

MKALI W MAMBO

Senior Member
Aug 9, 2018
190
135
Habari za jioni wadau...?

Nimepata Taharifa ya Habari kutoka Zanzibar. Ni kwamba Mwanaume mmoja mwenye Umri wa miaka 43 ameukumiwa kunyongwa mpaka kufa. Kwa kumuua mkewe kwa kukusudia.

Mwanaume huyo amesema alifanya maamuzi hayo baada ya mkewe kumnyima Tendo la ndoa Usiku ndipo alipochukua panga na kumchalaza kichwani mapanga.
Hakachukua huamuzi wa kwenda kujisalimisha mwenyewe kituo cha polisi....

Wanaume wenzangu mnalionaje ili je ? Alifanya maamuzi sahii mwanaume mwenzetu...?

Na nyinyi wanawake je ? alichofanya mwanamke mwenzenu ni sahii na kwa nini huwa mnafanya hivi kwani mlilazimishwa kuingia katika ndoa.

Kabla amjaingia katika ndoa mnatakiwa kutambua hile ni haki ya kila mmoja anastaiki kupewa kwa muda muafaka na sio kuanza kuumizana kama utaki si urudi kwenu kwani umerazimishwa

Yaani mimi nachukia kitu kama hiki Afu malalamiko haya yapo kwenye ndoa nyingi uwezi sikia mume kamnyima mke unyumba hila mke ndiye anamnyima mume unyumba.
ALAFU UTAWASIKIA SITAKI UKEWENZA MIE.....

BADILIKENI MTAUMIZWA SANA.
 
Unaunga mkono huyo jamaa kumuua mkewe kisa kanyimwa tamu??

Lazima mjue kuwa tumeumbwa tofauti hakuna mfanano katika hisia wa tamaa za ngono kati yetu na nyie

Kukubali kuolewa haimaanishi kila siku nikupe

Ni haki yako ndio lkn hilo limeandikwa ilo tu mwenza husika kujisikia ni sehemu ya mwili wa mwenza wake lakini haiondoi kuwa mke ana mwili wake na mume nae ana mwili wake

Chezeni na akili zetu nyege zetu zinatafutwa kwa kauli tamu sio km nyie ni vuu paa kitu tayari kimeenda wima

Jifunzeni kuturidhisha vinginevyo mtajiua na kunyongwa kwa sana tu
 
tatizo kuna trend ya celibacy siku hiz..kila mdada anajikuta celibate ..hii ni kwa wasio na ndoa lakin...unazungumziaje
 
duhh mpemba anaua mke,kisa kanyimwa mbunye.!

na ana wake3..jela sio nzuri kwake
 
Hizo ni sababu zisizoingia akilini
Kuna mengi yalikuwapo na vitisho kabla ya uamuzi huo.

Tatizo letu hata wahusika hawaongei ukweli na unaweza kukuta taarifa zinatoka kwa jirani utafikiri alikuwepo
Yaani kuna mambo mengine mmh
 
Mimi ni mwanaume namm nasema ivi.

KUMUUA MWANAMKE NI USENGEEEE YAAAN USENGEEEEEE

NA KUJIUA KWA MWANAUME NI USENGEEEE YAAAN USENGEEEEE.

unanyimwa uchi unau unaakili?? BADALA YA KUTAFUTA WAPI UNAKOSEA???

nyie ndo wale ,mke akikunyima unyumba , akili yakwanza inakutuma kuchepuka ukidhan unamkomoa hahahah jinga sana

Sijaoa.
 
Hii mara nyingi unakuta mke ana mchepuko nje alafu akifika ndan basi full kalenda unyumba.Siungi mkono jamaa alichofanya ila pia siwezi mlaumu kwa maana uchungu wa mapenzi usipoweza dhibiti moyo unaweza fanya ukatili hadi shetani akazirai kwa mshtuko.
 
Mnasahau majukumu ya nyumbani?
Malezi ya watoto hapo ukute mchana baba aliacha pesa haitoshelezi
Mama ana madeni VICOBA,
Mwanaume hamkojozi wala hamnyegeshi hiyo hamu inatoka wapi?

Kuna muda mwanamke hajisikii kufanya mapenzi kama na nyinyi mnavyokuwa muda mwingine hamjisikii

Nadhani heshima ni muhimu zaidi...
 
Tatizo hornet wanawake hamuwi wakweli kwenye sex pale.hutosheki mchallenge mumeo nishike hapa nishike pale.sasa nyie mtu hakuridhishi badala ya umwambie ili mu improve unaenda chepuka nje.
Trust kukiwa na good communication pale paradiso ndoa itadumu na kila mmoja ataridhika.
Issue za kulea familia wanaume mara nyingi huwa sio wakutegea kabsa
 
Hivi unazungumzia hawa wanaume ukimuona kucheka ujue anaongea na jirani

Na wanawake wa kule Wana dini Wana stara kuanza kuongea hayo ni kama kukosa adabu kwa mumewe
 
Back
Top Bottom