Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili. Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Salama wanajukwaa? Kama mada inavyojieleza Hili suala limekaaje kaaje, Je, ni sahihi kumnyang'anya vitu ulivyompatia mwanamke wakati upo kwenye mahusiano nae? Mfano ulijenga/kununua nyumba kwa...
2 Reactions
143 Replies
12K Views
Wasalaam, Nimewaza sana juu ya tabia ya baadhi ya Wanaume kusababisha mimba na kukataa kulea na kupotea kusikojulika.Binafsi hii kitu nimekuwa naitafakari sana,inakuwaje umecheza faulo zako halafu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana wa miaka 30 Elimu yangu degree Kazi mjasiliamari Nakoishi mbeya Nataka mwanamke wa kumuoa Awe anasari Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Binafsi naiona kama ni kauli ambayo hutolewa na Wanawake ili kujitetea au kutetea na kufunika uovu wao wa kuzaa na mwanaume mwingine wakati yupo ndani ya ndoa au mahusiano yanayotambulika Rasmi...
11 Reactions
48 Replies
9K Views
...Habari! Mwezi wa 4, siku moja usiku wa saa nne nilipigiwa simu na mke wa mwanakwaya mmoja akidai mumewe kakamatwa na homa nikamuone. Basi nikapaki thermometer, rapid malaria test na Paracetamol...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Miaka ya karibuni kulikuwepo na ugawaji wa net za bure. Baadhi ya wazee walizilalamikia hizo neti kuwa zaleta upungufu wa nguvu za kiume japo hazikuwadhuru. Sa hivi vijana wengi wana matatizo ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ladies....when you get your mood swings do u want space or our attention???
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Nina hitaji mchumba ambaye atakua serious na relationship ili awe mke wangu. Elimu yangu ni bachelor degree shughuli zangu nazifanyia Morogoro na Dar. Sifa za mke awe na elimu japo form four na...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kitambo kidogo .Nafiki home baada ya kutoka umbali wa 10km .usafiri nilio kuwa Na tumia ni baskel aina ya fonex. Nilibeba mzingo wa 120kg . Nikiwa njiani mvua ilinyenya kidogo ivo mataili ya lijaa...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Siku zote tunasikia kuhusu watu waliokuwa kwenye mahusiano muda mrefu, for years hata 10+ years nakuendelea. Leo tuangalie short term relationships, unakuta mtu baada ya wiki au miezi kadhaa...
3 Reactions
303 Replies
69K Views
Nyimbo kuchuja au kukuchosha kusikiliza ni jambo la kawaida, lakini kuna nyingine hata uisikilize mara ngapi, haikuchoshi ku-give it another listen. So ni nyimbo gani inayohusu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kutoka mtandaoni Si umewahi kusikia falsafa ya Wahenga kwamba, ‘Uzuri wa mwanamke ni tabia, sio urembo?’ Basi nakushauri ishia kuisikia hivyo hivyo, usije ukaamini, na zaidi ukataka uifanye kazi...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari za siku mdau..,Nilikuwa na mpenzi wangu tuliodumu zaidi ya Mwaka1 lakini mpenzi wangu huyo alinificha kuwa ana mimba ya mtu mwingine hivi majuzi nikaja kugundua na kuamua kuvunja uhusiano...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kichwa cha mada kinajieleza... Umefanana sura na nani kwenye familia au ukoo wenu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukitaka kujua mwanamke sio ndugu yako soma hii hapa upate undani. Jamaa karudi toka job mpole! MKE: vipi leo mbona mapema na mpole? MUME: ofisi yetu imeungua na watu wote wamekufa, MKE...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakubwa habari.. Ni muda sasa umepita (mwezi) ambapo baada ya mke wangu kuwa anajipaka kitunguu maji sirini na kubadilisha mikao wakati wa kushirikiana ndoa nilikuja kugundua kuwa amejiunga...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Hii inatukuta wanaume wengi unakuta huna hela na demu anakuomba ila hutaki tu kumjibu kama huna hela..na hii kuhofia tu ndege ataponyoka mikononi au labda anaweza kukuona "mwanaume suruali" kama...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Back
Top Bottom