GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Binafsi naiona kama ni kauli ambayo hutolewa na Wanawake ili kujitetea au kutetea
na kufunika uovu wao wa kuzaa na mwanaume mwingine wakati yupo ndani ya ndoa
au mahusiano yanayotambulika Rasmi. Pia hutumiwa na wanaume ambao ni dhaifu kwa
wake zao ambao hawana nguvu wala uwezo wa kuachana nae.
Kwa Mtazamo wangu mwanamke kutoka nje ya ndoa na akabainika wazi ni kosa ambalo
haliwezi kusameheka, hata kama utasamehe kama una akili timamu utaendelea kuteswa
na fikra za usaliti huo katika sehemu kubwa ya Maisha yenu.
Vipi unapokuja kubaini kuwa mtoto unayelea si damu yako ingawa amepatikana ndani ya
mahusiano au ndoa yenu?
Kwa mtazamo wangu KITANDA KINAZAA HARAMU.