Aliyewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
291
199
Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili.

Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa. Hii sio kwamba itanisaidia mimi tu bali na yule mwenye nia ya kutafuta mwenza kupitia Love Connect.

Mapovu yanaruhusiwa.

NaWaSiLiSha.
 
Watu baado hatujaona dira,
Kifupi ni kwamba baado natafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom