Changamoto za malezi ya kukataliwa na baba

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,158
1,227
Wasalaam,
Nimewaza sana juu ya tabia ya baadhi ya Wanaume kusababisha mimba na kukataa kulea na kupotea kusikojulika.Binafsi hii kitu nimekuwa naitafakari sana,inakuwaje umecheza faulo zako halafu ukatae matokeo ya faulo.Kitu cha ajabu unakuta eti mtu analelewa na babu/bibi mpaka anaweza kujitegemea,then anaibuka mtu kuwa mie ndiyo baba ako.Wale ambao tumekutana na changamoto ya namna hii tumewezaje kusamehe Baba/Mzazi wa namna hii.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namsamehe kwa kujua ndio baba yangu ila no more mawasiliano na wa hivyo huwa wanakuja hasa mtoto huyo anapokuwa yupo vizuri kwa maana ya kimaisha na wewe hapo msaada elekeza kwa aliyekulea
 
Back
Top Bottom