Ni nyimbo gani inayohusu mapenzi/mahusiano, ambayo huwa haikuchoshi kuisikiliza

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Nyimbo kuchuja au kukuchosha kusikiliza ni jambo la kawaida, lakini kuna nyingine hata uisikilize mara ngapi, haikuchoshi ku-give it another listen.

So ni nyimbo gani inayohusu mapenzi/relationships ambayo huwa haikuchoshi kuisikiliza. Inaweza ikawa ni ya RnB, Pop, Hip Hop, Soul, Jazz or any other genre.

Mine would be...
Kanye West ft Rick Ross - Devil in a New Dress

..jux sisikii na goma flani hivi la wahenga rangi ya chungwa sjui kaimba nani ngoma matata sana lile
 
SACRIFICE.......huwa asubuhi kabla sijaenda job naiweka repeat mpka nikimaliza kujiandaa...
 
Nyimbo kuchuja au kukuchosha kusikiliza ni jambo la kawaida, lakini kuna nyingine hata uisikilize mara ngapi, haikuchoshi ku-give it another listen.

So ni nyimbo gani inayohusu mapenzi/relationships ambayo huwa haikuchoshi kuisikiliza. Inaweza ikawa ni ya RnB, Pop, Hip Hop, Soul, Jazz or any other genre.

Mine would be...
Kanye West ft Rick Ross - Devil in a New Dress

Chris de burgh - lady in red
Westlife - fool again

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom