Habarini wapendwa. Kama kichwa cha habari hapo Juu kimekuwa kinyume na mwandishi mmoja humu JF ambaye amejaribu kuwatetea hawa single mothers na wachangiaji wengine wameenda mbali zaidi nakuona na...
Habarini Wakuu.
Tafadhali naomba Wikiendi iishe kwa Mtindo huu.
Masikini haachi kuota ndoto. huota ndoto nyingi za kila namna. Huota akisukuma Mikoko yenye wadhifa. Huota akiishi katika jumba...
Wakuu,
Ni mwisho wa mwezi wa 6 ambapo tulipata kazi ktk NGO moja hapa nchini.
Tupo watu 72. Wanawake 18 na waliobaki ni wanaume.
Hao wanawake 18, karibu wote ni visu na wengine wanafaa kwa...
Jamani binadamu Mwenzenu naingia katika vishawishi kutoka kwa mke wa rafiki yangu kabisa,
Ni hivi rafiki yangu kasafiri kikazi nje ya nchi kwa muda sasa, huku nyuma amemuacha mke wake ambae ana...
Dah, nmeamin kweli wanawake wako sensitive sana. Yaani huyu mpenzi wangu amekuja kwangu mida ya saa kumi na mbili jioni dhumuni tutoke usiku, ashinde hadi kesho siku nzima.
Tumekaa tunaangalia...
Mimi ni binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana, ila naona mda unaeenda na yeye ukimuuliza hajajipanga kimaisha.
Nimechoma kumsubiri natafuta mume wa kunioa.
angalau awe na...
Pamoja na ukongwe wangu na kuzunguka kwangu mja asili haachi asili,
Ilibidi kidogo nibadili mlo nitoke home(nichepuke)
Basi nikaupromise msosi mpya tukutane makutano place nikachukua chaka huko...
Aiseee! Kwa hili sie wanaume tutaendelea kulaumiwa bure, inafika muda mpaka najuta kwanini nilijihusisha kumapenzi na kusababisha mimba kwa huyu single maza wangu
miaka mitatu sasa tangu...
Nilikuwa nawaza hapa kwa harakaharaka kati ya PESA na MASHINE (urijali) kwa mwanaume kipi ni muhimu zaidi kuwa nacho (other factors remain costant).
Ni ukweli usioshaka kwamba pesa ni mchawi wa...
Hbari za weekend wana jf
I hope weekend imeenda poa kama kuna shiit ime happened jus holling up front and ignore shiit always happen.
Niende kwenye mada
Weekend hii nilkua kijiweni kimoja na...
Amani kwenu
Jamani wana MMU ni muda sasa mbitiyaza simuoni hapa hivyo namtafuta mwenye taarifa zake au anifikishie ujumbe wangu
Roho yanenda mbio kwa kuwa nilimzoea
Habari wakuu.
Jana wakati natoka kazini narudi nyumbani nikaona nipitie kwa mama ntilie ili nikifika geto mimi niangushe tu, nimemaliza kula nimefika nyumbani nimefungua geti naelekea kupaki gari...
wakuu Eid Mubbarak kwenu!
Niende kwenye mada..Kuna mama mmoja hivi jirani na kazini kwangu (umri kwa kukadiria sisi hini ya 55yrs and above), alikuwa akinisumbua sana eti tuwe wapenzi! ...mama...
BARUA YA WAZI KWAKO RAFIKI YANGU KUHUSU NDOTO ZAKO
Wasalaam!!
Natumaini u bukheri wa afya na Mwenyezi MUNGU amekujaalia pumzi na uhai Kwa muda huu uusomapo waraka huu.Nami pia ni bukheri wa afya...
Kuna mahusiano ya aina mbili.
Yale open, ambapo watu wengi wanajua kina fulani wako in a relationship, iwe mtandaoni, au labda mtaani, au shuleni/darasani. Au tu marafiki zenu wengi wanajua uko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.