Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
...Habari!
Mwezi wa 4, siku moja usiku wa saa nne nilipigiwa simu na mke wa mwanakwaya mmoja akidai mumewe kakamatwa na homa nikamuone. Basi nikapaki thermometer, rapid malaria test na Paracetamol kwa bag, nikakamata bajaj nikaenda kumuona mwana!
Nilipofika nilipokelewa na shemeji huku akinishukuru kwa kujali. Basi nikaingia sebuleni nikakuta yupo hoi. Nikamcheki mwana homa nikakuta ipo juu ila hakuwa na dalili za malaria. Nilipompima nikakuta yupo ok. Akanisihi nimpeleke hosp kwa further check up.
Njiani
Hapa ndo ikawa issue, akasisitiza twende kwangu tuongee kiume. Nikakataa ila akawa ananisihi sana.
Nyumbani
Mwana akaanza kunambia huku analia, "... nilishindwa kukwambia, ila yote haya kasababisha Mwa*** (jina la mchepuko). Yaani nilivyomjali vyooote kaamua kunisaliti? Yaani nimenyang'anywa na Devi hivi hivi?"
Aisee, I felt kuwaka hasira. Huyu rafiki angu mwanakwaya ni mume na ana 3 kids, ila alivyokuwa anamlilia mchepuko wake utadhani kaachwa na mkewe! Niliingia room, niliporudi I was like the long range missile....
Je, ni haki kweli kulizwa na kuumia sana kisa kuachwa na mchepuko???
Sent using Jamii Forums mobile app