Nombeni msaada wa kimawazo

Nombeni msaada wa kimawazo

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Habari za siku mdau..,Nilikuwa na mpenzi wangu tuliodumu zaidi ya Mwaka1 lakini mpenzi wangu huyo alinificha kuwa ana mimba ya mtu mwingine hivi majuzi nikaja kugundua na kuamua kuvunja uhusiano na yeye kuridhia kwakuwa nilikuwa nimeujua ukweli wote..,lakini kinachoniuma ni kwamba anapenda mno kuview Status zangu je nimblock maana bado ka roho kananiuma nikimuona..,

#je nini cha kufanya au nimblock..,??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuwa mpenz wako uyo na ndio maaana alikuficha na ushukuru amekionea huruma ya bila kukubebesha hiyo mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni status tu,,,
Fanya kitu kimoja nenda kwenye setting then status exclude namba yake pale atakuwa hana uwezo wa kuziona status zako
 
Sasa kuview satus zako kosa liko wapi??

Jamaa unaonyesha bado unampenda kiasi kwamba unachukia kila kitu.

Sasa ushaur,,, Usikimbie kumblok, ila Hakikisha Status zako zoote zimuonyeshe kua Una maisha ya Furaha.

Lkn km unaweka za Kulia kulia hahaha Atakucheka mbaya
 
Sawa boss ngoja nifanye ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sijakuelewa.. yaani mmedumu kwa mwaka mmoja hala ukagundua mimba sio yako..
Maswali. Huo mwaka mmoja mlikuwa hamfanyi mpz? Na me ni mimba gani inakuwa tumboni mwaka mzima??

mwanza kwetu,
 
Kama sijakuelewa.. yaani mmedumu kwa mwaka mmoja hala ukagundua mimba sio yako..
Maswali. Huo mwaka mmoja mlikuwa hamfanyi mpz? Na me ni mimba gani inakuwa tumboni mwaka mzima??

mwanza kwetu,
I mean nilikuwa mbali kidogo lkn sasa ivi ndio nimerudi nikagundua iyo situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una umr gani ndugu?

Nahisi bado unampenda sna,,

Tatizo hutaki kukubali aende,,,

Si ajabu huyo msichana hakai mbali na makazi yako.

Pole sana

Pole sana

Pole sana.

Ila kubali kuanzisha ukurasa mpya wa maisha yako.
 
Kama ulishachukua maamuzi ya kumuacha inabidi ukubaliane na hali ujipange upya kutafuta mpenzi mwingine.
 
Back
Top Bottom