Baada ya kujiunga kwenye makundi sogozo mke haambiliki

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
269
224
Wakubwa habari..

Ni muda sasa umepita (mwezi) ambapo baada ya mke wangu kuwa anajipaka kitunguu maji sirini na kubadilisha mikao wakati wa kushirikiana ndoa nilikuja kugundua kuwa amejiunga kwenye makundi whatsapp. Nilibaini kuwa huko kundini wanajadiliana na kufundishana masuala ya mapenzi, vikoba na biashara zingine. Binafsi sikuona kama ni tatizo katika masuala ya biashara kwani ni vyema mke pia aingize kipato katika familia.

Ila hadi sasa naona kama namna fulani hivi katika "sita kwa sita" mke wangu amekuwa mwendesha farasi zaidi (naamini wakubwa tunaelewana). Ile hali ya yeye kutaka mimi kuwa juu siku hizi hataki. Kwa wataalamu wa Fizikia naamini kuwa tunakubaliana wote kwamba, nguvu msuguano inakuwa kubwa kutokana ha uzito fulani wa maada.

Of coarse she get a weight. Yani kuna namna wakati wa mshindo wake ananizidi nguvu. Hii inanifanya nijione mzembe sana.

KUTOKANA NA HAYO NAOMBA USHAURI KWENU WANAJAMVI NI NAMNA GANI NIWEZE MAMBO HAYA:

1. Kumfikisha kunako pasi mimi kuchoka?
2. Kudumu muda mrefu kwenye gemu?
3. Kumfanya akimbie gemu mwenyewe?
4. Kuongeza urefu wa hii nanilihi?

Naomba kuwasilisha.

Fredius Snowden,

5th Avenue Madson, NY758, USA
 
Nisaidie mawazo rafiki..

Fredius Snowden,

5th Avenue Madson, NY758, USA
Kama anajifunza kukufanyia wewe haina shida.Muhamasishe tu akiridhika mwanamke ndoa inakuwa na amani na huyo anakaa juu ili ajipimie utamu,kikubwa kula vizuri punguza stress enjoy game halafu dont judge her...we muache afanye anavyofanya na umsifie tu. Kuna siri kubwa sana utafunuliwa uKijifunza kutoku-judge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujamgonga nenda bafuni kapande mnazi kwa mkono mmoja halafu piga bao moja halafu rudi kamgonge lazima acheke na moyo wake
 
Kama anajifunza kukufanyia wewe haina shida.Muhamasishe tu akiridhika mwanamke ndoa inakuwa na amani na huyo anakaa juu ili ajipimie utamu,kikubwa kula vizuri punguza stress enjoy game halafu dont judge her...we muache afanye anavyofanya na umsifie tu. Kuna siri kubwa sana utafunuliwa uKijifunza kutoku-judge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Hili la kujipimia ni kweli.

Fredius Snowden,

5th Avenue Madson, NY758, USA
 
Back
Top Bottom